Mmanu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 1,775
- 1,011
Ubinafsi na udini unaanza kuharibu mfumo wako wa akilinaweza sema Mwanamke katika uongozi wa juu bado sana. Samia umeaangusha wanawake au to be specific wanawake wa Kiislamu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubinafsi na udini unaanza kuharibu mfumo wako wa akilinaweza sema Mwanamke katika uongozi wa juu bado sana. Samia umeaangusha wanawake au to be specific wanawake wa Kiislamu!
Hii ni pigo kwa wale wapingji kwa hoja kuwa tayari mkataba wa utekelezaji umeshaingia na hakuna cha kufanya. Mwanzoni baada ha hoja ya kupinga ilipoanza kabla ya kuingia na kejeli na matusi kuwa bandari na nchi imeuzuzwa walielezwa kilichosainiwa ni makubaliano ya ushirikiano kwenye uendelezaji wa bandari...mikataba ya uendeshaji ndio itakayokuwa na details ikiwemo ukomo wa kila mradi...walibisha sana sasa wanasema maafisa wanakuja kwa siri..for what tena? Tuna kuna mwanasheria mmoja anasema kama tukijitoa tutashtakiwi ilihali makubaliano yenyewe yanaeleza kuwa ikiwa hakutakuwa na utekelezaji ndani ya miezi 12 makubaliano hayo yatakuwa yamekufa automatically?Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.
Katika kutaka kujiridhisha ili kutoa uamuzi juu ya nini cha kufanya, DP World imewatuma nchini Maafisa wake watatu ili kupata undani wa jambo hilo. DP World imewatuma Maafisa wake hao ambao wamewasili nchini jana na wanatarajiwa kuzungumza sirini na makundi tofautitofauti.
Maafisa hao watazungumza na viongozi wa kiserikali na kichama-CCM; viongozi wa TPA; viongozi wastaafu mbalimbali wenye 'kuukubali' na wale 'wa kuupinga' Mkataba huo; wanasheria mbalimbali wenye mtazamo tofauti; wasomi wenye mtazamo tofauti, wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika. Kwangu mimi, hii ni hatua muhimu na adhimu kwakuwa DP World watayasikia yale yanayofurahisha na kukatisha tamaa kuhusu Mkataba wao.
Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba ( safarini kurejea Dar es Salaam)
Ukisema ukweli kuhusu dini fulani, tafsiri ni udini?Ubinafsi na udini unaanza kuharibu mfumo wako wa akili
Wanaelewa vzr kabsaa tatizo ni jeuri kwan mtafanya nn??Kubabake nchi ya kiwaki sana hii wananchi kuhoji kuhusu vipengele vya mkataba ni tatizo Yani serikali inashindwa nini kusikiliza wananchi wake na kuweka mambo Vizuri kwani Kuna mtanzania kasema hataki uwekezaji ?? Tatizo ni mkataba wa kiwaki sijui hawaelewi au vp yani
Sasa wapi katika katiba ya nchi hii inaruhusu kiongozi wa nchi kuwakilisha dini fulani?Ukisema ukweli kuhusu dini fulani, tafsiri ni udini?
Hizo heka kanunue kenya za hapa si zitakuwa zimeuzwa zote. kazitafute hizo heka; na mnunuzi wa nchi. andaa na mazizi ya kufugia hao faru.Nashauri nchi IUZWE kila mtu apewe chake.
Mimi nipewe heka arobaini za ardhi, madini na faru watatu.
Kila mtu apite hivi.
Ishu sio maafisa wa dp world kufika !ishu ni wataongea na watu SAHIHI!!?Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.
Katika kutaka kujiridhisha ili kutoa uamuzi juu ya nini cha kufanya, DP World imewatuma nchini Maafisa wake watatu ili kupata undani wa jambo hilo. DP World imewatuma Maafisa wake hao ambao wamewasili nchini jana na wanatarajiwa kuzungumza sirini na makundi tofautitofauti.
Maafisa hao watazungumza na viongozi wa kiserikali na kichama-CCM; viongozi wa TPA; viongozi wastaafu mbalimbali wenye 'kuukubali' na wale 'wa kuupinga' Mkataba huo; wanasheria mbalimbali wenye mtazamo tofauti; wasomi wenye mtazamo tofauti, wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika. Kwangu mimi, hii ni hatua muhimu na adhimu kwakuwa DP World watayasikia yale yanayofurahisha na kukatisha tamaa kuhusu Mkataba wao.
Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba ( safarini kurejea Dar es Salaam)
Tulia Ackson ni mwislamu?naweza sema Mwanamke katika uongozi wa juu bado sana. Samia umeaangusha wanawake au to be specific wanawake wa Kiislamu!
Hapa namaanisha,mleta mada hakuweka source ya habari yake,kusema Source niamini mimi bro ina maanisha tuamini tu alichokisema bila hata reliable source ya info yake.akuamini kuhusu nini ulicho-coment?
Asante mzee wetu. Muwaulize kuhusu vipengele kwenye huo mkataba.Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.
Katika kutaka kujiridhisha ili kutoa uamuzi juu ya nini cha kufanya, DP World imewatuma nchini Maafisa wake watatu ili kupata undani wa jambo hilo. DP World imewatuma Maafisa wake hao ambao wamewasili nchini jana na wanatarajiwa kuzungumza sirini na makundi tofautitofauti.
Maafisa hao watazungumza na viongozi wa kiserikali na kichama-CCM; viongozi wa TPA; viongozi wastaafu mbalimbali wenye 'kuukubali' na wale 'wa kuupinga' Mkataba huo; wanasheria mbalimbali wenye mtazamo tofauti; wasomi wenye mtazamo tofauti, wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika. Kwangu mimi, hii ni hatua muhimu na adhimu kwakuwa DP World watayasikia yale yanayofurahisha na kukatisha tamaa kuhusu Mkataba wao.
Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba ( safarini kurejea Dar es Salaam)
Ila lazima watakuwa na infor wao wengi tu, wameanza kuchunguza shamba la nani lianze kuwa bandari kavu, huyu mleta mada kaona walioenda hija3 wanarejea akajua akina Dpw. Wao wapo kitambo wanatuchora tuHapa namaanisha,mleta mada hakuweka source ya habari yake,kusema Source niamini mimi bro ina maanisha tuamini tu alichokisema bila hata reliable source ya info yake.
Wanawake waisilamu wa jf.nimuombe nani msamaha, kwa kosa gani?
Punguza ukali wa maneno yako bro.Hapa namaanisha,mleta mada hakuweka source ya habari yake,kusema Source niamini mimi bro ina maanisha tuamini tu alichokisema bila hata reliable source ya info yake.
Ukali wa maneno yapi?Punguza ukali wa maneno yako bro.
Ma wanawake wa kiislamu si wote, lkn huyu amewatia doa kubwa.wanawake wote acha udini
Safi kabisaHakuna sababu ya kubifadi bandari, kama wanataka kuwekeza kuna uwanja wa ndege wa chato tutawapa watuletee watalii sio bandari.
Upo sahihi kabisa kabisa. Wanaume wote alishindwa kabisa kuuza mbuga na Bandari. Wanaume wameonyesha uwoga wa kupindukialabda huyo mwanamke ni mamako, Huyu rais wetu anafanya mambo makubwa sana ambayo wanaume yamewashinda.
You should be bigger person.Ukali wa maneno yapi?
Mkuu ungeanza kwa kuwaambia hao wanaoniprovoke,huoni maneno yao? acha double standard.
Eti kubabake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kubabake nchi ya kiwaki sana hii wananchi kuhoji kuhusu vipengele vya mkataba ni tatizo Yani serikali inashindwa nini kusikiliza wananchi wake na kuweka mambo Vizuri kwani Kuna mtanzania kasema hataki uwekezaji ?? Tatizo ni mkataba wa kiwaki sijui hawaelewi au vp yani