Tetesi: Kumekucha: 'Kelele' za watanzania zawafikia DP World, watuma maofisa wao kujiridhisha

Sababu gani?
Watanzania hakuna kitu cha umma ambacho tunaweza kukisimamia kikaleta tija kitaifa zaidi ya wizi na madili machafu, watanzania wanauwezo mkubwa sana wa kubuni mbinu za wizi na si uwajibikaji na uzalishaji ,tumefeli kwenye kila kitu wacha tusaidiwe.
 
Watanzania hakuna kitu cha umma ambacho tunaweza kukisimamia kikaleta tija kitaifa zaidi ya wizi na madili machafu, watanzania wanauwezo mkubwa sana wa kubuni mbinu za wizi na si uwajibikaji na uzalishaji ,tumefeli kwenye kila kitu wacha tusaidiwe.
Mbona report ya CAG inaonyesha wizi kila taasisi za Serekali nazenyewe tuwape warabu? Kwanini unafikiri walioshindwa ni watanzania na sio chama kinachosimamia serekali kiondolewe,hao wezi kwanini police wasiwakamate na kuwapeleka mahakamani tuendelea na bandari zetu, badala ya kuzigawa ili kukomoa wezi?
 
Ndiyo zote tuwape wawekezaji si lazima waarabu bali yeyote ili mradi mkataba uwe na tija
 
Tetesi zako ni ramli chonganishi. Dp WORLD wapo pale pale.
 
naweza sema Mwanamke katika uongozi wa juu bado sana. Samia umeaangusha wanawake
Je Joyce Banda alifanikiwa kwenye uongozi wake? Hapana.
Je Sirleaf alifanikiwa kwenye uongozi wake? Hapana.
Je Truss alifanikiwa kwenye uongozi wake? Hapana tena alivurunda ile mbaya.

Maelezo yanajitosheleza. Sasa nasubiri historia ijiandike tena maana Sulemani alisema hakuna jambo jipya duniani.
 
Kama hao wanatafuta maoni ya wananchi, serikali gani hii haitaki kuwasikiliza wananchi.
 
Watakuwa wameitwa na Mama kuja kufuta au kurekebisha huo mkataba wa IGA uliosheheni HGAs ndani yake. Watakuwa na Full instrument of power kutoka kwa sultan wa Dubai Emirate. Bila shaka jambo hili litakuwa limefikia mwisho kabla ya mkutano mkuu wa Dr Silaa uliopangwa kufanyika tarehe 22 July 2023.
 
Nimeandika utakufa masikini,sijasema tu utakufa,toka usingizini kijana,investors sio maadui,Dunia inakwenda kasi sana,investors wapo all over the World.
Acha ujinga wewe ni nani anayekataa mwekezaji hapa tunasema mikataba yenu ya kina chief mangungo hatuitaki
 
Hao wanakuja kutembeza rushwa ya siri siri kwa wote wanaopinga!! Itakuwa hivi: Mnaitwa kwenye kikao na wao ndio watakaolipa hiyo sitting allowance!! Sitting allowance haipingui dola 100,000/=. ambazo ni takriba Tsh 230,000,000/=. Baada ya kikao mtu anashikizwa hizo zikiwa ni taslimu na travelling checks!. Baada ya hapo nguvu ya kupinga itatoka wapi!!

Dawa yake vikao hivyo visiwe vya siri!! majadiliano hayo yawe live!! Vinginevyo wamekuja kuhalalisha wizi!!
 
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Madam alitoroka juzi na ndege ya serikali kwenda UAE kuwaambia jamani kule kimenuka!
 
Mlolongo wote wa nini,waongee na Mwabukusi tu kwisha[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…