Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wote mnakaribishwa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa tu Hamad kuongea kesho!?Kijani kwisha habari yao
Maneno kama haya akiambiwa Mwenyekiti wako utajisikia amani? au utakimbilia kusema ule ujinga wenu?asije akalewa uko hotelini, akatengua mguu kama Mbowe
Wabunge 40 kutoka pemba na unguja wahamia ACT wazalendo.
Maneno kama haya akiambiwa Mwenyekiti wako utajisikia amani? au utakimbilia kusema ule ujinga wenu?
Kisa tu Hamad kuongea kesho!?
Na hasa mamluki kutoka baraSafari hii watu watakufa kuliko 2001.
Nakupa pole mkuu Jecha ni part of the cartel, unaitwa ukoo wa panya!! wako kina Jecha lukuki wanampokea kijiti tu akili yako umeiacha wapi ndugu hapa sio Malawi! zidumu fikra za Mwalimu!!Naiona ccm ikijizika kabisa na Jecha kesha staafu tayari
Sasa unalia nini?Maalim ni utopolo tu kaongea mara elfu ngapi na hakuna kilichobadilika! akaongee tu ni mbu tu yule nje ya chandaru!!
wewe umekatazwa na nani ?Huyu mzee kila awamu anagombea yeye tu ,
Unaamsha popo mkuu! yatakiwa kwanza watu waende zenj, wajae ukumbini kisha dakika ya kwanza tu Maalim kuongea defender ifike na kumpiga Maalim Tanganyika jeki manake nasikia kapanga kuongea maneno mazito ya uchochezi na kugawa watu hasa ishu yao ya Zana za Kilimo ( ZZK) kutiwa mbaroni Kilwa eti ACT wanadai kaonewa hawakubali liwalo na liwe!! baada ya Maalim kupandishwa kwenye defender wafuasi wake hawatakubali kama Kilwa vurugu kubwa itaibuka na hotel kuchafuka kwa mabomu ya machozi! Verde hapatokalika kesho!Igp siro ataagiza vijana wake Mara moja kuzunguka hyo hoteli
Nchi gani itatikisika? Usikute hata nikizima tu data sintajua kinachoendelea achilia mbali kutikisika.