The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Vigogo hawahimili maji ya chumvi pale dodoma wanajipendelea wao kwanza wananchi baadae.Juzi kwenye taarifa ya habari nimeona wananchi wa mara wanalalamika hawana maji wakati wapo karibu na ziwa inakuwaje maji yanapelekwa mbali wakati waliozungukwa na maji wanalalamika
Ndio yale yale ya maji kutoka arumeru mashariki na kupelekwa monduli wakati raia huko arumeru mashariki hawajui maji ya bomba yakoje.Juzi kwenye taarifa ya habari nimeona wananchi wa mara wanalalamika hawana maji wakati wapo karibu na ziwa inakuwaje maji yanapelekwa mbali wakati waliozungukwa na maji wanalalamika
Hayo maji ni ya Arumaru Magharibi mkuu ya Lowassa hadi leo wananchi wa maeneo hayo ya arumeru wanasikia tu pump zikinguruma kupeleka maji wameachiwa vumbiNdio yale yale ya maji kutoka arumeru mashariki na kupelekwa monduli wakati raia huko arumeru mashariki hawajui maji ya bomba yakoje.
Tatizo matumizi ya ya hayo maji. Egypt wanatumia maji ya mto Nile ambao chanzo chake ni ziwa Victoria na wao chanzo hicho ni zaidi ya 90% ya maji wanayotumia. Sasa unashangaa Mara?Juzi kwenye taarifa ya habari nimeona wananchi wa mara wanalalamika hawana maji wakati wapo karibu na ziwa inakuwaje maji yanapelekwa mbali wakati waliozungukwa na maji wanalalamika
Mnataka kutumia loophole ya mtifuano uliopo kati ya Misri na Ethiopia, au mnafikiri hao jamaa wamelala....hizi ahadi huwa zinatoka sana kuelekea uchaguzi, lakini mara nyingi hazina uhalisia..
Wakumbushe tu kuwa wenzetu husimamia mikataba pale Mwanza kuna wamsiri kabisa na ofisi zao kwa ajili ya kutoa ripoti kwa serikali yao kile kinachoendelea pale ziwa NyanzaMnataka kutumia loophole ya mtifuano uliopo kati ya Misri na Ethiopia, au mnafikiri hao jamaa wamelala....hizi ahadi huwa zinatoka sana kuelekea uchaguzi, lakini mara nyingi hazina uhalisia..