Ni fursa hizo kwa vijana, piga kazi kuuzia maji hao wavivu.... mnalialia ajira bado mletewe maji hadi ndani.!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona muda wa lunch unautumia kuleta pumba apa, kula kwanza ushibe utapata cha kuandika
Easy mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
Master plan yao wanayatoa Igunga kuyaingiza Singida, Igunga tayari yashafika.Mzee mi nimeongelea Magu haina maji, huenda sio kipaombele chao... tumezoea kujichotea maji ziwani kwa baiskeli na tolori.
Kama mradi huu umefika Tabora, mbona hii taarifa haisemi kuwa wanatoa Tabora kuelekea Dodoma.?