Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajielewi halafu wakimbiwa hukasirika.Watahamisha magoli bwashee,utaona ,warus wa jamii forum wajanjawajanja sana walisema China anaenda kumchapa mmarekani ,ishu imekua tofaut wamehamisha magoli fasta wanadai China amekwepa mtego !!!!!!
Hio kitaalamu inaitwa "TACTICAL REVERT" yani unampoteza maboya hasimu wakoWatahamisha magoli bwashee,utaona ,warus wa jamii forum wajanjawajanja sana walisema China anaenda kumchapa mmarekani ,ishu imekua tofaut wamehamisha magoli fasta wanadai China amekwepa mtego !!!!!!
Biden ni pambo, wala yeye hana mamlaka ya kuamua chochoteKama hiyo ni kweli, basi amepania kuanzisha WW3 ambavyo hataweza kuvishinda badala yake Dunia itakuwa destroyed in totality - binadamu huyu ni hatari kuliko maelezo watu hawajui tu!! Na nimuonapo Biden wakati mwingine anazubaa zubaa na wakati mwingine anasalimiana na hewa huwa naogopa sana nabaki najiuliza maswali mengi: hivi huyu ni binadamu wa kupewa briefcase yenye code za ku-launch thermonuclear ICBMs towards Russia - tumuombe Mungu tu atusalimishe dhidi ya uwekano mkubwa wa WW3 kuanzishwa aidha kwa kutokana na miscalculation/bahati mbaya au kimakusudi - dalili sio nzuri kusema kweli unless Biden akiondolewa ofisini kwa uwezo/nguvu za Mungu la sivyo tumekwisha - sitanii.
USA alikuwa anasupport IraqHahaaaa ni kweli ,,Iran hawa si ndio walikuw t
Ni kweli kama alivyowalea na kuwa train Taleban na Wa Iran , wa Iran walimtegemea Sana US Kwa vifaa na trainings Ile vita ya Iraq -Iran war