What a Childish comments!! Nikwambie kitu mkuu, kitu cha kwanza leta hoja mbadala na sio kukimbilia kutukana tukana watu ambao huwajui vizuri, yaani utaki kabisa watu walete maoni tofauti na ya kwako, kisaikolojia unaonekana wazi wazi una traits za a bully type and overly arrogant, masaa yote kuwasema /kuwatukana members ambao hawakubaliani na maoni yako unawatukana kwamba wana akili finyu!! Usione watu hawakujibu kwa kutumia abrasive language kama ya kwako ukafikiri na wanakuogopa au ni wajinga, mwanzo nilikuwa naku-ignore tu, lakini hivi sasa umezidi - Mark you, sio kwamba nasema mambo ya kutunga tu au ya kiuonezi, ukitaka kujijua ulivyo please revisit all your asinine laden remarks herein - what do they tell you psychologically, ni wazi una tatizo si bure, sikusemi vibaya lakini ukweli ndio huo may be ukijirudi behavior zako zitakuwa 4 the better na sio kujiona you can play binadamu wenzako on your little finger and get away unscathed!!
Labda niongezee kwa kusema kwamba usichukulie every member hapa kwamba ni average Joe - ukitulizana akili na kuheshimu binadamu wenzako utajifunza mengi kutoka kwa JF members ambao ni knowledgeable kwa mambo/masuala mengi tu, si lazima ukubaliane na maoni yao lakini usiwatukane - learn to agree to disagree without offending anyone,kama uwezi basi hapa hapakufai. Goodday Amigo.