Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Nishasema mengi MKUU ila acha niongeze na hiliBwana Utam sema neno moja tu
RUSSIA TAIFA TEULE
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishasema mengi MKUU ila acha niongeze na hiliBwana Utam sema neno moja tu
wakikujibu niite nyoka mwenye makengeza,nimekaa pale..Kwani ukreini wamekomboa miji iliyochukuliwa
Mtajionea tu maangamizi
du!inaelekea una vitabu vyako vya history,tofauti na vingine vyote duniani...... watakuambia wanasubiri majira ya baridi eti hata Hitler alipigika msimu huo. Wanajisahaulisha kwamba bila US, UK, et. al. Mrusi alikuwa anatolewa kamasi na Nazi.
haohao pro US & NATO,russia akishusha SARMAT au SATAN 3,ndo watakuwa wa kwanza kulaumu na kulia machozi.Hii biashara wanayofanya US Ukraine naona mwisho wake itashushwa sarmat ile mwana ukome. Russia atarudi nyuma na kuwakaanga wa Ukraine na hio itakuwa ile basi tukose wote. Maana wanarefusha vita kwa misaada isio na msingi.
Ngoja tuone wakati wa winter ukifika itakuwaje ulaya na US wakikatiwa gas.
Watalalamika sana yani, ila ndio utakuwa mwisho wa vita hii. Maana hamna kiumbe kitakanyaga hilo eneo for years😂😂😂haohao pro US & NATO,russia akishusha SARMAT au SATAN 3,ndo watakuwa wa kwanza kulaumu na kulia machozi.
cha ajabu urusi ndio inateka maeneo ya ukraine,alafu kwa mujibu wa vyombo vya magharibi,ndio wanapigwa,,tangu vimpe ushindi MANDONGA siamini vyombo vya habari..Source: Sky news, daily news - mtu unategemea nini kutoka kwenye sources kama hizo, kazi zao ni scare mongering and make believe stories that is all halafu walivyo wa ajabu wanazungumza vitu technical ambavyo watu wenye elimu ya kutosha katika masuala haya wanaona kwamba maelezo yenyewe ni highly flawed technical wise that is - mimi nimeliona hilo,je,Warusi si ndio wanaona kwamba jamaa wanazungumza kufurahisha baraza kwa kuwachota akili laypersons but not Russian scientists/engineers.
FYI, Warusi wamekwisha anza kuzitungua kwa wingi roketis zinazo rushwa na HIMARS launchers - habari hizo uwezi kuzisikia zikitangazwa na: Sky News, Daily News,BBC,VoA wala CNN wako kimya kabisa, wanacho kazania ni kutangaza jinsi Warusi wanavyo pata kipigo kikali kutoka kwa Ukraine forces lakini Ukraine haipati hasara au wanajeshi wake kuuwawa wanao kufa ni Warusi tu.
Hatujamzuia tumia silaha aitakayohaohao pro US & NATO,russia akishusha SARMAT au SATAN 3,ndo watakuwa wa kwanza kulaumu na kulia machozi.
sikia aibu hapo USA anasupply silaha kwa hatua kama kwenye game hatua hii ukifaulu unapewa silaha hii then mpk mwisho ila Urusi alitumia silaha hovyo hovyo tu bila mpango sass hv kaanza kuomba msaada na China hali mbaya , USA is far better than China na Russia ( hawa jamaa wana tabia za kihaya majigambo mengi sana ila uwezo sifur ) , hii vita inaenda kuwafanya Ukraine kuwa taifa hatar sana na hii ni warning kwa USA pia maana Ukraine inaenda kuwa among well trained army in Europe after ww2 so USA aangalie hili pia asije Iran ya pili Ulaya maana hata hao Iran aliwalea yeye mweneyewYale ma hima yamefeli duh aendelee kuleta machuma chuma yake ya kipumbavu tuyaharibu
saa 72 hadi miez 6 , km 11 kutoka kyiev had km 320 kutoka kyiev , aya tusubir tuone nan anaingia mkenge ,kambi nyingine imelipuliwa hukoMarekani hachoki kuwaingiza mkenge wa Ukraine. Kila wakati tunasikiaga hizo story na kila wakati matokeo yanakuaga hasi
hata Kagera haikombolewa kwa miez 6Miji mingap Ukraine kaikomboa tuanzie hapo Kwanza
source yako ni ipi ? wkt muda wote upo kweny western media ?Source: Sky news, daily news - mtu unategemea nini kutoka kwenye sources kama hizo, kazi zao ni scare mongering and make believe stories that is all halafu walivyo wa ajabu wanazungumza vitu technical ambavyo watu wenye elimu ya kutosha katika masuala haya wanaona kwamba maelezo yenyewe ni highly flawed technical wise that is - mimi nimeliona hilo,je,Warusi si ndio wanaona kwamba jamaa wanazungumza kufurahisha baraza kwa kuwachota akili laypersons but not Russian scientists/engineers.
FYI, Warusi wamekwisha anza kuzitungua kwa wingi roketis zinazo rushwa na HIMARS launchers - habari hizo uwezi kuzisikia zikitangazwa na: Sky News, Daily News,BBC,VoA wala CNN wako kimya kabisa, wanacho kazania ni kutangaza jinsi Warusi wanavyo pata kipigo kikali kutoka kwa Ukraine forces lakini Ukraine haipati hasara au wanajeshi wake kuuwawa wanao kufa ni Warusi tu.
kwa akilo yako vita inapiganwa kijiji kimoja tu ? yaan kinachotokea huku basi huko kwingine kinatokea hicho hicho ? akili fupi hz , unaeza upande mmoja ukawa unafanikiwa ila upande mwingine ukawa unaferi kikubwa , urus imetolewa kyiev vita ipo huko mashariki na kusin ya UkraineUmesahau propaganda zao? Ndio kwanza kinu cha nuklia kinachozalisha Umeme kimetekwa takribani wiki Sasa.
warusi hawafi ? ndio maana mlitawaliwa mpk walipotaka wao kuondoka ndo wakawapa uhuruHuko Ukraine ambako US anafanya field ya silaha zake vijana 16-35 yrs wa Ukraine wanaisha kila siku kwa makombora ya mwamba PUTIN
acha kusoma nusu nusuSasa kutoka Romania mpaka Donbas ni kilometer ngapi? Ni zaidi ya 700km hata kama propaganda mnazidi
Halafu hana majigambo ya kuonyesha kila silaha yake, Silaha nyingi za Mrusi ni old model.Tuache utana na story za vijiweni USA Yuko mbali sana kisilaha.... Tatzo hapa ni ushabiki tu. Lakn ukweli mchungu ni kua USA Yuko mbali sana
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app