Kumekucha: Marekani yakiri kutuma makombora maalumu ya kutungua rada Ukraine

Kumekucha: Marekani yakiri kutuma makombora maalumu ya kutungua rada Ukraine

Kwahiyo ulitaka Zelenksy akae kimya Russia achukue maeneo ya nchi yake?!

Hakuna Rais mpumbafu dunia hii anaweza kubali huo upuuzi hata Tanzania haikukubali huo upuuzi tukaingia vitani na Uganda japo nchi yetu ilikua taabani kiuchumi. Ingekua Nyerere ana mawazo kama yako Leo hii Kagera ingekua sehemu ya Uganda.
Kama ungelewa kiundani ni nini hasa kimeleteleza matatizo yote haya, wala husingemtetea Zelensky - yeye anatumiwa tu wala hajielewi - anapokubali kama zuzu Taifa lake litumike indirectly kutishia usalama wa Russian Federation unategemea nini? Putin had no choice save to spring up a surprise attack to pre-empty Zelensky evil plan - who can blame him?

Njama zilizo kuwa zinasukwa na Zelensky kwa ushauri kutoka kwa US Administration zilijulikana mapema via agency za kijasusi - ilijulikana kwamba Zelensky alikuwa amekusanya majeshi na zana nzito za kivita kwa lengo la kuivamia Ukraine ya mashariki na Crimea, lengo hasa ni kuwaua ma million ya Waukraine wenye asili ya Urusi, actually tangu 2014 jeshi la KINAZI (Azov) la Zelensky lilisha angamiza Waukraine 14,000 wenye asili ya Urusi, cha ajabu hakuna taifa hata moja la magharibi au vyombo vyao vya habari vilivyo wahi kukemea/shutumu mauuaji hayo ya kutisha, wako kimya kabisa - WHY? they are least concern - Badala yake Sky News na like mind wenzake ndio wanatuletea story za kuchonga tu zilizo sheheni propaganda za kitoto ili kuwafanya wasikilizaji kama hawaja enda shule vile? Kwanza watu wote Duniani wenye akili timamu wanajuwa fika kwamba jeshi la Zelensky linapata wakati mgumu kwenye vita hii licha ya kusaidiwa na wanajeshi wa Merikani na Uingereza kwa kificho, lakini hilo haliwasadii chochote jeshi la Zelensky, wako hoi bin taabani!!
 
Inge elewa kiundani ni nini hasa kimeleteleza matatizo yote haya, wala husingemtetea Zelensky - yeye anatumiwa tu wala hajielewi - anapokubali kama zuzu taifa lake litumike indirectly kutishia usalama wa Russian Federation unategemea nini? Putin had no choice save to spring up a surprise attack to pre-empty njama zilizo kuwa zinasukwa na Zelensky kwa ushauri kutoka kwa US Administration alikuwa amekusanya majeshi na zana nzito za kivita kuivamia Ukraine ya mashariki na Crimea lengo hasa ni kuwaua a million ya Waukraine wenye asili ya Urusi, actually tangu 2014 jeshi la KINAZI la Zelensky lilishavangamiza
Ukraine ni Taifa huru Lina haki ya kujiamulia mambo yake.Mbona huyo Putin hajazivamia Finland na Sweden na wakati hii operation inaanza alizitishia zisithubutu kujiunga na NATO la sivyo yatawakuta yaliyowakuta Ukraine.

Ukweli ni kwamba Putin anataka kurudisha Dola la Usovieti na hii kama unamsilikiza kwa makini hua anaeleza mara Kwa mara kwamba kuvunjika Kwa USSR lilikua ni kosa kubwa la kihistoria,hayo ya usalama ni kama kisingizio tu hivi kanchi maskini kama Ukraine kanaitishia nini Urusi yenye maelfu ya silaha na maelfu ya silaha za nyuklia.
Angalia tena Ile hotuba aliyoitoa siku hii anayoiita special operation inaanza alieleza wazi kwamba kusingekua na Taifa la Ukraine bila ya Urusi,isikilize kwa makini Ile hotuba ndo utaelewa jamaa nia yake kuu ni kujitanua tu ndo maana jirani zake wote sasa hivi ikiwemo Kazakhstan wana wasiwasi wanaongeza ushirikiano na mataifa ya magharibi na kuongeza bajeti zao za Ulinzi wakiogopa kuvamiwa na Urusi.
 
Inge elewa kiundani ni nini hasa kimeleteleza matatizo yote haya, wala husingemtetea Zelensky - yeye anatumiwa tu wala hajielewi - anapokubali kama zuzu taifa lake litumike indirectly kutishia usalama wa Russian Federation unategemea nini? Putin had no choice save to spring up a surprise attack to pre-empty njama zilizo kuwa zinasukwa na Zelensky kwa ushauri kutoka kwa US Administration alikuwa amekusanya majeshi na zana nzito za kivita kuivamia Ukraine ya mashariki na Crimea lengo hasa ni kuwaua a million ya Waukraine wenye asili ya Urusi, actually tangu 2014 jeshi la KINAZI la Zelensky lilisha angamiza zaidi ya Waukraine wenye asili ya Urusi zaidi ya 14,000 cha ajabu hakuna taifa hata moja la magharibi lililo wahi kukemea mauuaji hayo, wako kimya kabisa - WHY? Badala yake Sky News na like mind wenzake wanaleta story za kuchonga tu zilizo sheheni propaganda za kitoto kuwafanya wasikilizaji kama hawaenda shule vile - watu wote Duniani wenye akili timamu wanajuwa fika kwamba jeshi la Zelensky linapata wakati mgumu kwenye vita hii licha ya kusaidiwa na wanajeshi wa Merikani na Uingereza kwa kificho, lakini hilo haliwasadii chochote jeshi la Zelensky wako hoi bin taabani!!
Sasa nikuulize alichokifanya ni ndo sahihi. Sasa hivi Finland yenye urefu wa Zaid ya 1000 km inajiunga na NATO. Tuone kama kweli Ukraine ilikua inahatarisha usalama wake.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Inge elewa kiundani ni nini hasa kimeleteleza matatizo yote haya, wala husingemtetea Zelensky - yeye anatumiwa tu wala hajielewi - anapokubali kama zuzu taifa lake litumike indirectly kutishia usalama wa Russian Federation unategemea nini? Putin had no choice save to spring up a surprise attack to pre-empty njama zilizo kuwa zinasukwa na Zelensky kwa ushauri kutoka kwa US Administration alikuwa amekusanya majeshi na zana nzito za kivita kuivamia Ukraine ya mashariki na Crimea lengo hasa ni kuwaua a million ya Waukraine wenye asili ya Urusi, actually tangu 2014 jeshi la KINAZI la Zelensky lilisha angamiza zaidi ya Waukraine wenye asili ya Urusi zaidi ya 14,000 cha ajabu hakuna taifa hata moja la magharibi lililo wahi kukemea mauuaji hayo, wako kimya kabisa - WHY? Badala yake Sky News na like mind wenzake wanaleta story za kuchonga tu zilizo sheheni propaganda za kitoto kuwafanya wasikilizaji kama hawaenda shule vile - watu wote Duniani wenye akili timamu wanajuwa fika kwamba jeshi la Zelensky linapata wakati mgumu kwenye vita hii licha ya kusaidiwa na wanajeshi wa Merikani na Uingereza kwa kificho, lakini hilo haliwasadii chochote jeshi la Zelensky wako hoi bin taabani!!
Watu wote wenye akili timamu wanajua kwamba bila Marekani na Uingereza Leo hii Ukraine kungekua na kibaraka wa Putin anaongoza Ile nchi lakini baada ya misaada ya West warusi wamefurushwa toka Kiev wakaenda kujibanza kule Donbas.

Unakumbuka wakati operation inaanza Russian paratroopers walivyokua wanashuka pale Kiev,unajua nini kiliwakuta?! Wote walifyekwa. Vita ilikua nzito mpaka Marekani walitaka kumtorosha Zelenksy lakini baada ya misaada kushuka mpaka Leo Zelenksy yupo Kiev na huu NI mwezi wa 6 Russia hajaweza hata kugain air superiority Ukraine. Su-35 zikiingia tu anga la Kiev zinatunguliwa,zile Su-57 wanazosema stealth zinarusha Makombora kutokea Urusi hazithubutu kugusa anga la Ukraine na hapo Ukraine ndo ina mifumo ya SAM ya kizamani enzi za Usovieti lakini Russia wameshindwa kabisa kuendesha SEAD operation wameishia kurusha Makombora kwenye mashule,mahospitali na makazi ya watu.
 
Ni kweli mkuu, yaani Zelensky ana roho ngumu kama ya paka, he doesn't seem to be bothered by astronomical numbers of Ukrainian Soldiers loosing their lives in a futile war against Russia -Anacho jali yeye ni kukubali aridhi ya Ukraine itumiwe na USA kufanya majaribio ya silaha mpya kushambulia majeshi ya Russia, hiki ndicho kinacho endelea huko Ukraine.
Kunywa maji ya kutosha mkuu, najua una mahaba mazito na Russia..,huamini unachokiona
Life is change
 
Yale ma hima yamefeli duh aendelee kuleta machuma chuma yake ya kipumbavu tuyaharibu
Hahahah crimea watu wanarudi bara
20220810_065821.jpg
 
Kumbe ndo maana siku hizi Radar zao tena za kisasa zinalipuliwa lipuliwa tu,sasa ndo nimeamini rasmi hii mifumo ya S-300 na S-400 ilikua overestimated maana kwenye hii vita hamna cha ajabu ilichofanya kila siku maghala ya silaha yanalipuliwa plus radar za hiyo mifumo kila siku zinapelekwa kibra

Russia's most advanced Podlet-K1 air defence radar destroyed by Ukraine inside Russian territory - Defence View

Rare X-Band Russian Imbr ballistic-tracking system destroyedView attachment 2319089View attachment 2319090
Dude hili apa mkuu
20220810_071348.jpg
 
Kitu kibaya zaidi kwenye hii Operation huwezi kusikia Russia ikisonga mbele na kufanya mashambulizi yoyote ya kuizidi Ukraine. Ikiwa mashambulizi ya Russia yakitangazwa ujue kashambulia makazi ya watu, shule, hospitali, supermarket na kuua watu.

Kwa mtu mwerevu mwenye ufahamua wenye afya njema ni lazima ajiulize kwa viulizo vingi.

Na kila Ukraine anposhindwa na kurudi nyuma kabisa wataalamu wa Sky news wanasema ni mbinu za kivíta za kujipanga zaidi na kufanya mashambulizi zaidi. Lakini kila zikochunguliwa habari taarifa zinaonesha kadri Ukraine anavyozidi kufanya mbinu za kivita kurudi nyuma kwa kujipanga vizuri ndivyo anavyozidi kurudi nyuma zaidi na maeneo yake kukamatwa na kuwa chini ya Russia.

Zelenski kwenye interviews zake anasema kwa siku Ukraine wanakufa si chini ya wanajeshi 100. Kwa siku Russia inarusha makombora zaidi 20,000 na kwa idadi hii anadiriki kusema imewazidi wao zaidi ya mara 3.

Nazidi kujiuliza kwa nukta hizi chache inasemwa Russia inapigwa kwenye uwanja wa vita. Lakini uwioano wa habari ni tofauti. Pengine kuna nukta naikosa siielewi, Russia inapigwa wapi kwenye hii Operation na Ukraine?
Inapigwa kwenye vyombo vyahabari MKUU sio field

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukraine ni Taifa huru Lina haki ya kujiamulia mambo yake.Mbona huyo Putin hajazivamia Finland na Sweden na wakati hii operation inaanza alizitishia zisithubutu kujiunga na NATO la sivyo yatawakuta yaliyowakuta Ukraine.

Ukweli ni kwamba Putin anataka kurudisha Dola la Usovieti na hii kama unamsilikiza kwa makini hua anaeleza mara Kwa mara kwamba kuvunjika Kwa USSR lilikua ni kosa kubwa la kihistoria,hayo ya usalama ni kama kisingizio tu hivi kanchi maskini kama Ukraine kanaitishia nini Urusi yenye maelfu ya silaha na maelfu ya silaha za nyuklia.
Angalia tena Ile hotuba aliyoitoa siku hii anayoiita special operation inaanza alieleza wazi kwamba kusingekua na Taifa la Ukraine bila ya Urusi,isikilize kwa makini Ile hotuba ndo utaelewa jamaa nia yake kuu ni kujitanua tu ndo maana jirani zake wote sasa hivi ikiwemo Kazakhstan wana wasiwasi wanaongeza ushirikiano na mataifa ya magharibi na kuongeza bajeti zao za Ulinzi wakiogopa kuvamiwa na Urusi.
Kama dola huru haya wawe wapole na hiki kipigo wanachokula
Swed na Fin wakijuinga nato muje mutuambie
Kama USSR wanataka kuirudisha itakua habari njema sna hii nayakupongezwa
.PUT IN anasema kweli yalikua makosa makubwa haswa kuvunjika USSR nainahitajika kurudi hata kama WAUKRAINE wakifa wote ili USSR irudi acha wafe hata kama kutazuka ww3 ili USSR irudi acha izuke hatakama itatumika nyuklia ili USSR irejee acha itumike
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wote wenye akili timamu wanajua kwamba bila Marekani na Uingereza Leo hii Ukraine kungekua na kibaraka wa Putin anaongoza Ile nchi lakini baada ya misaada ya West warusi wamefurushwa toka Kiev wakaenda kujibanza kule Donbas.

Unakumbuka wakati operation inaanza Russian paratroopers walivyokua wanashuka pale Kiev,unajua nini kiliwakuta?! Wote walifyekwa. Vita ilikua nzito mpaka Marekani walitaka kumtorosha Zelenksy lakini baada ya misaada kushuka mpaka Leo Zelenksy yupo Kiev na huu NI mwezi wa 6 Russia hajaweza hata kugain air superiority Ukraine. Su-35 zikiingia tu anga la Kiev zinatunguliwa,zile Su-57 wanazosema stealth zinarusha Makombora kutokea Urusi hazithubutu kugusa anga la Ukraine na hapo Ukraine ndo ina mifumo ya SAM ya kizamani enzi za Usovieti lakini Russia wameshindwa kabisa kuendesha SEAD operation wameishia kurusha Makombora kwenye mashule,mahospitali na makazi ya watu.
RUSSIA itapiga hata makanisa kama ndio mnapojificha huko msipigwe poleni sana mtafuatwa mumo humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom