HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Crimea inawaka huko, katoe msaadaMarekani hachoki kuwaingiza mkenge wa Ukraine. Kila wakati tunasikiaga hizo story na kila wakati matokeo yanakuaga hasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Crimea inawaka huko, katoe msaadaMarekani hachoki kuwaingiza mkenge wa Ukraine. Kila wakati tunasikiaga hizo story na kila wakati matokeo yanakuaga hasi
Hana hayo makombora, anategemea apewe na USAUkraine angekuwa anarusha makombora mengi kwa mfululizo badala ya kurusha mara moja moja sasa hivi Russia tayari wangekuwa nje ya Ukraine kwa sababu wanajeshi wengi wa Russia tayari wameanza kuchoka na kuanza kuomba likizo.
Source: Sky news, daily news - mtu unategemea nini kutoka kwenye sources kama hizo, kazi zao ni scare mongering and make believe stories that is all halafu walivyo wa ajabu wanazungumza vitu technical ambavyo watu wenye elimu ya kutosha katika masuala haya wanaona kwamba maelezo yenyewe ni highly flawed technical wise that is - mimi nimeliona hilo,je,Warusi si ndio wanaona kwamba jamaa wanazungumza kufurahisha baraza kwa kuwachota akili laypersons but not Russian scientists/engineers.Makombora haya ni hususi kabisa kwa ajili ya kusambaratisha rada yoyote ilipo umbali wa km150, haya makombora yanafuata frequency za rada, hata kama rada hiyo imezimwa kuna ,technology imedizainiwa kuditect popote rada ilipo na kulenga kwa usahihi.
Hii itawapa nafasi zaid Ukraine kusonga mbele.
The AGM-88 HARM is a high-speed anti-radar missile. Its range is up to 150 kilometers and it is capable of targeting high-frequency radars.
Being programmable to target previously entered co-ordinates, it is less vulnerable to traditional types of countermeasures, such as turning the radar being turned off when a missile launch is detected – a HARM missile can calculate the location of the target and is able to hit it even if there is are no radar emissions from the target at the time of the strike.
Military experts say having HARM missiles will allow Ukraine to push Russian air defense systems further back from the front, in turn allowing Ukrainian air power to operate more freely closer to Russian lines.
Source; Sky news, daily news
Umesahau propaganda zao? Ndio kwanza kinu cha nuklia kinachozalisha Umeme kimetekwa takribani wiki Sasa.Miji mingap Ukraine kaikomboa tuanzie hapo Kwanza
SawaUkraine angekuwa anarusha makombora mengi kwa mfululizo badala ya kurusha mara moja moja sasa hivi Russia tayari wangekuwa nje ya Ukraine kwa sababu wanajeshi wengi wa Russia tayari wameanza kuchoka na kuanza kuomba likizo.
Tukumbuke pia bado US hajatoa msaada wa zana za anga, akitoa jets itakuwa ni balaa lingine.Ni mzik we ngoja mwez huu utashuhudia meng maana ,rada zikishapigwa chini anga linatapakaa drones za kisasa na ndege ,hhapo Putin ataita maji mmaa
Na hapo anapambana na Ukraine. Angepambana na France, Italy, German, UK au Japan si angeshika adabu Mrusi?Kumbe ndo maana siku hizi Radar zao tena za kisasa zinalipuliwa lipuliwa tu,sasa ndo nimeamini rasmi hii mifumo ya S-300 na S-400 ilikua overestimated maana kwenye hii vita hamna cha ajabu ilichofanya kila siku maghala ya silaha yanalipuliwa plus radar za hiyo mifumo kila siku zinapelekwa kibra
Russia's most advanced Podlet-K1 air defence radar destroyed by Ukraine inside Russian territory - Defence View
Rare X-Band Russian Imbr ballistic-tracking system destroyedView attachment 2319089View attachment 2319090
Asilimia kubwa ya Tec tunazotumia sasa, US tec zake ndio zinaongoza kwa ubora. Ndiye anarun dunia kwa Tec.Tuache utana na story za vijiweni USA Yuko mbali sana kisilaha.... Tatzo hapa ni ushabiki tu. Lakn ukweli mchungu ni kua USA Yuko mbali sana
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Ziende huko f16 na f18. Itakuwa ni balaa lingine huko Ukraine kwa majeshi ya Russia.Hili lengo lake kuharibu radars ili Airforce ianze kazi
Rivet Joint, hatari nyingine hii, kazi yake ni kukusanya intelligenc za adui ikiwa ngapi, ina uwezo wa kukusanya taarifa za adui akiwa umbali wa zaidi ya kilomita 240.Hii inaharibu kuanzia Jammers, EW, Radar na defence systems.
Na inapokea directives kutoka kwenye ndege maalumu zinazozunguka Romania, ndege yenyewe yaitwa Rivert Joints
Hii huwasababisha Russia kuzima instruments zao, maana zikiwaka tu na kuwa locked, lazima zife tu
Sasa kutoka Romania mpaka Donbas ni kilometer ngapi? Ni zaidi ya 700km hata kama propaganda mnazidiRivet Joint, hatari nyingine hii, kazi yake ni kukusanya intelligenc za adui ikiwa ngapi, ina uwezo wa kukusanya taarifa za adui akiwa umbali wa zaidi ya kilomita 240.
Mbona awamu hii tutazijua kila aina ya silaha.
nakaziaTuache utana na story za vijiweni USA Yuko mbali sana kisilaha.... Tatzo hapa ni ushabiki tu. Lakn ukweli mchungu ni kua USA Yuko mbali sana
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Kama hiyo ni kweli, basi amepania kuanzisha WW3 ambavyo hataweza kuvishinda badala yake Dunia itakuwa destroyed in totality - binadamu huyu ni hatari kuliko maelezo watu hawajui tu!! Na nimuonapo Biden wakati mwingine anazubaa zubaa na wakati mwingine anasalimiana na hewa huwa naogopa sana nabaki najiuliza maswali mengi: hivi huyu ni binadamu wa kupewa briefcase yenye code za ku-launch thermonuclear ICBMs towards Russia - tumuombe Mungu tu atusalimishe dhidi ya uwekano mkubwa wa WW3 kuanzishwa aidha kwa kutokana na miscalculation/bahati mbaya au kimakusudi - dalili sio nzuri kusema kweli unless Biden akiondolewa ofisini kwa uwezo/nguvu za Mungu la sivyo tumekwisha - sitanii.Mshangao mwingine, kambi ya Jeshi iliyo Crimea imeshambuliwa hivi punde,
Mshangao mwingine ni Je Marekani imepeleka Silaha za kufika KM 200+ kutoka Frontline ya Ukraine?
Hizi migs si mwanzoni mwa hii vita Russia alikuwa anazizima sababu alihack mifumo yake? Bila shaka hizi sasa zimefanyiwa maboresho kwa sehemu kubwa.Maana yake Poland au Romania kapeleka hizo Mig kisiri, maana nakumbuka walitaka peleka ndege kwa kupata assurance kutoka Marekani kuwa watapewa ndege zingine
Ni kweli mkuu, yaani Zelensky ana roho ngumu kama ya paka, he doesn't seem to be bothered by astronomical numbers of Ukrainian Soldiers loosing their lives in a futile war against Russia -Anacho jali yeye ni kukubali aridhi ya Ukraine itumiwe na USA kufanya majaribio ya silaha mpya kushambulia majeshi ya Russia, hiki ndicho kinacho endelea huko Ukraine.Huko Ukraine ambako US anafanya field ya silaha zake vijana 16-35 yrs wa Ukraine wanaisha kila siku kwa makombora ya mwamba PUTIN
Yamefeli?.... Muulize Russia analijua hilo dude vizuri ndo maana unaona Russia iko kimya anajambajamba tu HIMARS ni zaidi ya shetani mamaee[emoji1787][emoji1787]zipo 20 sasa hivi zinamtoa mavi vip zingekuwa 100 Russia si kungewaka motoYale ma hima yamefeli duh aendelee kuleta machuma chuma yake ya kipumbavu tuyaharibu
Kwahiyo ulitaka Zelenksy akae kimya Russia achukue maeneo ya nchi yake?!Ni kweli mkuu, yaani Zelensky ana roho ngumu kama ya paka, he doesn't seem to be bothered by astronomical numbers of Ukrainian Soldiers loosing their lives in a futile war against Russia -Anacho jali yeye ni kukubali aridhi ya Ukraine itumiwe na USA kufanya majaribio ya silaha mpya kushambulia majeshi ya Russia, hiki ndicho kinacho endelea huko Ukraine.