Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wengine watakela gonjwa lengine pia zaidi ya lá mwanzo.Dawa imeshapatikana Russia anaweka no fly zone kwa kutumia S400 ikiwa Russia ambayo itakava Ukraine yote labda hizo HARM zifyatuliwe kutoka nje ya Ukraine na zenyewe zina range 150km
Kwahiyo siku zote hizo S400 hazikuepo ndo zimekuepo juzi baada ya HARM kuanza kufanya kazi?!Dawa imeshapatikana Russia anaweka no fly zone kwa kutumia S400 ikiwa Russia ambayo itakava Ukraine yote labda hizo HARM zifyatuliwe kutoka nje ya Ukraine na zenyewe zina range 150km
Ukiweka no fly zone means hata ndege za kiraia Putin hakutaka kusumbua RAIA upo hapoKwahiyo siku zote hizo S400 hazikuepo ndo zimekuepo juzi baada ya HARM kuanza kufanya kazi?!
Ukweli ni kwamba Russia ana resources Ila hana tactics za kuweka no fly zone pale Ukraine,angeshaweka zamani
Hivi Una habari kama hizo Radar za S400 zilishaharibiwa na Makombora ya Ukraine mwezi uliopita?!. Hapo tulikua hatujui kama Ukraine tayari wana HARM missilesUkiweka no fly zone means hata ndege za kiraia Putin hakutaka kusumbua RAIA upo hapo
Hivi Una habari kama hizo Radar za S400 zilishaharibiwa na Makombora ya Ukraine mwezi uliopita?!. Hapo tulikua hatujui kama Ukraine tayari wana HARM missiles
The AFU destroyed the Russian radar "Podlyot-K1," which provides target designation for the S-300 and S-400 air defense systems
Russia Lost Modern Air Defense Radar and EW system after MLRS HIMARS Strike | Defense Express
haya maneno aliyaongea raisi wa china jamaa wachochea hii vitaUrusi haina mambo ya kishoga kama USA. Halafu hio diplomasia aliyonayo Marekani ni ipi? Ya kutengeneza virusi ili kuangamiza Ulimwengu? Au ya kuchochea vita?
Angekuwa mtu wa diplomasia asingepeleka silaha Ukraine. Angeomba wayamalize kwa Amani.
Watahamisha magoli bwashee,utaona ,warus wa jamii forum wajanjawajanja sana walisema China anaenda kumchapa mmarekani ,ishu imekua tofaut wamehamisha magoli fasta wanadai China amekwepa mtego !!!!!!Naona kila mmoja anazungumzia 'winter ngoja ikifike' sasa wao wenyewe wameshajipanga na hiyo winter halafu mtakuja na stori za nini tena winter ikishapita.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Aiseee hivi Crimea haikuwa na S400?Dawa imeshapatikana Russia anaweka no fly zone kwa kutumia S400 ikiwa Russia ambayo itakava Ukraine yote labda hizo HARM zifyatuliwe kutoka nje ya Ukraine na zenyewe zina range 150km
Hahaha usisahau kumpelekea na nyama ya mdudu kilo moja.Waislamu kwenye msikiti mmoja hapa kwetu walisema Ukraine itapigwa ndani ya Nusu saa, Ijumaa inabidi nimtafute yule shehe anieleweshe zimepita dakika ngapi tangu vita ianze.
Labda ni pesa za maoligarchNgoja niwaibie za chini chini.. Russia inayo pesa ya kuendesha hii operation hadi mwakani mwezi wa 11 ..nimetoka kule last week
Na siku wakifanikiwa kuziharibu, Putin ataruka LIVE kutangazajambo hili.Ukraine ina HIMARS jumla 19 tu ukijumlisha na zile tatu walizopewa na Uingereza lakini ukiangalia taarifa za Russia tangu mwanzo kuhusu kuziharibu zinazidi hata idadi ambayo Ukraine wamepewa. Tangu mwezi wa 7 mwanzoni wanasema wameziharibu Leo NNE,kesho mbili,keshokutwa wanasema tatu lakini cha ajabu evidence hawatoi.
Hahahaha mzee mwenzangu unayumba sasaNakuelewa vizuri tu mkuu, tatizo ni kwamba watu wanashindwa kutofautisha baina ya roketi na launcher - ni hivi mkuu: HIMARS system ni lori dogo ambalo chassis yake imejengewa/fungwa bomba sita za kipenyo kikubwa, hizo ndizo zinatumika kama roketi launchers, wanatumbukiza/weka roketi zenye solid fuel kwenye mabamba hayo na kuzifyatua kwa kutumia spark zinazo zalishwa na umeme. Nilicho kisema mimi kinahusu kutunguliwa kwa idadi kubwa ya rockets zinazo rushwa na HIMARS systems/launchers, sikugusia chochote kuhusu HIMARS system zenyewe ingawa kuna taarifa kwamba mpaka sasa Russia imefanikiwa kuharibu HIMARS sita kati ya zile zilizo kwisha ingizwa Ukraine - sina uhakika Ukraine imekwisha pewa idadi ngapi za HIMARS so far.
Hii ya drones ni kweli Bayktar walikanusha, wakasema Turkey ni NATO anaitetea Ukraine na bidhaa yake. Ile meli ya Moskva hata kuzungumza ni aibu, wazir mzima anakanusha kwa kusema uongo, hapa ndipo nilipoamini hili taifa wale wazee wa USSR ni mazezeta.Ukiachana HIMARS, Russian Defence Ministry si ulisema imeharibu ndege zote za Ukraine siku tatu za mwanzo wa vita, mbona ndege zinaruka.
Ministry of Defence hiyohiyo iliwahi toa idadi ya Bayraktars za Ukraine zilizoharibiwa, cha ajabu idadi ilikuwa nyingi kuliko zote zilizowahi tengenezwa na zinazotumika nchi zote operators. Mpaka Baykar, kampuni ya Uturuki inayozitengeza ilipodokeza hivyo.
Juzi hapo kwenye attack ya air base Crimea, Russia walisema kuna wanajeshi walihandle vibaya silaha. Sasa mbona wananchi walikimbia Crimea wakatengeneza foleni ya 24hrs kutoka. Kwamba waliogopa bahati mbaya isijirudie kwenye Kerch bridge.
Bado Moskva ilipozama wakasema ni dhoruba. We dhoruba gani linazamisha cruiser ya tani zaidi ya 10,000 wakati boti za watu wawili zipo baharini.
Hakuna superpower hapa
Jamaa anatemaga madini sanaNasema hivi , agiza k-can't ntalipa [emoji106][emoji106]
Hata hizo nuclear 7,000 alizosema anazo usikute hata 1,000 hazifiki.Juzi wakati hii base imelipuliwa/imelipuka walisema hakuna ndege yoyote iliyopata madhara lakini satellite images zimekuja kuwaumbuaView attachment 2321175
Hahaha yaani wanazungumzia S400 kama mkombozi wakati alishafeli tayari. Hii vita US akiamua iishe mwezi huu hakika itaisha.Hivi Una habari kama hizo Radar za S400 zilishaharibiwa na Makombora ya Ukraine mwezi uliopita?!. Hapo tulikua hatujui kama Ukraine tayari wana HARM missiles
The AFU destroyed the Russian radar "Podlyot-K1," which provides target designation for the S-300 and S-400 air defense systems
Russia Lost Modern Air Defense Radar and EW system after MLRS HIMARS Strike | Defense Express
😂😂😂😂Hahaha usisahau kumpelekea na nyama ya mdudu kilo moja.
Ni kweli kama alivyowalea na kuwa train Taleban na Wa Iran , wa Iran walimtegemea Sana US Kwa vifaa na trainings Ile vita ya Iraq -Iran warsikia aibu hapo USA anasupply silaha kwa hatua kama kwenye game hatua hii ukifaulu unapewa silaha hii then mpk mwisho ila Urusi alitumia silaha hovyo hovyo tu bila mpango sass hv kaanza kuomba msaada na China hali mbaya , USA is far better than China na Russia ( hawa jamaa wana tabia za kihaya majigambo mengi sana ila uwezo sifur ) , hii vita inaenda kuwafanya Ukraine kuwa taifa hatar sana na hii ni warning kwa USA pia maana Ukraine inaenda kuwa among well trained army in Europe after ww2 so USA aangalie hili pia asije Iran ya pili Ulaya maana hata hao Iran aliwalea yeye mweneyew