Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ni taarifa ninayoileta kwenu wana JF ili muwe wa kwanza kufahamu kinachoendelea .
Maandalizi yote yamekamilika na kaeni tayari kupewa taarifa zaidi kwa kadri zitakavyotufikia .
Mungu ibariki Chadema
UPDATES:
...................
Kishoa ameshinda Iramba
Bulaya ameshinda Bunda
Matiko ameshinda Tarime Mjini
Magereri ameshinda Kigamboni