Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Musoma mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe inakuhusu nini?Sawa kura za maoni wakipita, October watashinda? Au ni kupoteza muda.
CHADEMA ya 2015 Leo mbona mbwembwe na pilika pilika zimepungua?
2015 tulikuwa hatupunui, kila kona combat na jezi nyekundu na nyeupe.
CCM waliogopa hata kuvaa mavazi yao.. Wasanii kila kukicha walitunga nyimbo za CHADEMA.leo kunani?
CHADEMA ya 2015 Leo mbona mbwembwe na pilika pilika zimepungua?
2015 tulikuwa hatupunui, kila kona combat na jezi nyekundu na nyeupe.
CCM waliogopa hata kuvaa mavazi yao.. Wasanii kila kukicha walitunga nyimbo za CHADEMA.leo kunani?
Vp mkuu polis waliwasaidia kupanga viti ukumbini Kama walivyofanya ule ukumbi karibu na hazina?
Vipi ulinzi umeimarishwa pia wakati mkiendelea na vikao vya chama?
Vipi mbona magereza hawajapandisha bendera za chama?
Vp mtapita barabarani na shangwe Kama walivyofanya wale wa kijani na wapambe wao?
#Upole ukizidi unakuwa upoyoyo!
#Mud umefika wa kusema no to oppression, KWA VITENDO!
Usijali mpenda Haki, mtego wao upo, wakiuingia tu hutapata tabu kuungana nasi, kaa tayariSiku wakipatikana watano tu wakinukisha nipo tayari,Sina cha kupoteza nimechoka
Tena kuhusu wabunge ndo isahaulike kabisa hyo mnama, jamaa hataki kwa namna yoyote ile kuona mpinzan halisi akitia mguu wake pale mjengon, wapinzan vivuli utawaona baadhi. Bt kuhusu sugu, mdee, mnyika, bulaya, mbowe etc sahau mnama.Km wasiposhirik ile namb ya wabunge waliyoipata hawataitetea Mnama.
Hata hapo mwanzo hawakushinda kiwepes wanapaswa wajipange ipasavyo ili washinde tena.Tena kuhusu wabunge ndo isahaulike kabisa hyo mnama, jamaa hataki kwa namna yoyote ile kuona mpinzan halisi akitia mguu wake pale mjengon, wapinzan vivuli utawaona baadhi. Bt kuhusu sugu, mdee, mnyika, bulaya, mbowe etc sahau mnama.
Chadema ilikuwa 2010-2020, siyo hii ya Sasa inayojipima nguvu na ACT.
Hawako vizuriCHADEMA wake vizuri sana.
Uwii mbavu zangu mimi wacha nichekeSusan Lyimo ameshinda katika Kura za Maoni za kumteua mgombea wa Chadema Jimbo la Kinondoni. Amepata kura 71 kati ya 113. Sawa na asilimia 62.8. Amewashinda Moza Ally (Makamo Mwenyekiti Bavicha), Rose Moshi diwani Viti Maalum na Mbezi Mwombeki
Kilimanjaro huwa kuna tume huru?Tume, tume, tume huru, bila tume huru ni heri tu kuacha kabisa kushiriki, soon you will see.
Jela za polisi siyo msalaniCHADEMA ya 2015 Leo mbona mbwembwe na pilika pilika zimepungua?
2015 tulikuwa hatupunui, kila kona combat na jezi nyekundu na nyeupe.
CCM waliogopa hata kuvaa mavazi yao.. Wasanii kila kukicha walitunga nyimbo za CHADEMA.leo kunani?
Unataka vyombo vya habari vifungiwe na kina Abbas ?Hawako vizuri
2015 vyombo vyote vya habari vingefurika kwenye kumbi za kura za maoni kinondoni huko.Sasa hivi chadema limedoda
Wait and see kid.Kilimanjaro huwa kuna tume huru?