Uchaguzi 2020 Kumekucha: Mchakato wa kura za maoni kwa Wagombea ubunge wa CHADEMA waanza rasmi leo

Uchaguzi 2020 Kumekucha: Mchakato wa kura za maoni kwa Wagombea ubunge wa CHADEMA waanza rasmi leo

Subpost 2 - Mkutano mkuu wa Chadema Jimbo la Musoma Mjini umeketi tayari kumchag ( 800 X 640 ).jpg

Musoma mjini
 
Kigamboni
 
Attachments

  • Chadema Kigamboni, uamuzi wa busara! ( 937 X 750 ).mp4
    12.9 MB
Susan Lyimo ameshinda katika Kura za Maoni za kumteua mgombea wa Chadema Jimbo la Kinondoni. Amepata kura 71 kati ya 113. Sawa na asilimia 62.8. Amewashinda Moza Ally (Makamo Mwenyekiti Bavicha), Rose Moshi diwani Viti Maalum na Mbezi Mwombeki
 
CHADEMA ya 2015 Leo mbona mbwembwe na pilika pilika zimepungua?
2015 tulikuwa hatupunui, kila kona combat na jezi nyekundu na nyeupe.
CCM waliogopa hata kuvaa mavazi yao.. Wasanii kila kukicha walitunga nyimbo za CHADEMA.leo kunani?

Wewe ni mpumbavu Kabisa,unaamua kujitoa akili ,unaamua kujivika ujinga ,unaamua kuwa Malaya wa kisiasa kwa makusudi.Kama vikao vya ndani mpaka sasa wapinzani wanakamatwa kwa maagizo ya yesu wa chattle,wataweza kuvaa combat hadharani?
 
CHADEMA ya 2015 Leo mbona mbwembwe na pilika pilika zimepungua?
2015 tulikuwa hatupunui, kila kona combat na jezi nyekundu na nyeupe.
CCM waliogopa hata kuvaa mavazi yao.. Wasanii kila kukicha walitunga nyimbo za CHADEMA.leo kunani?

Wewe ni mpumbavu Kabisa,unaamua kujitoa akili ,unaamua kujivika ujinga ,unaamua kuwa Malaya wa kisiasa kwa makusudi.Kama vikao vya ndani mpaka sasa wapinzani wanakamatwa kwa maagizo ya yesu wa chattle,wataweza kuvaa combat hadharani
 
Vp mkuu polis waliwasaidia kupanga viti ukumbini Kama walivyofanya ule ukumbi karibu na hazina?

Vipi ulinzi umeimarishwa pia wakati mkiendelea na vikao vya chama?

Vipi mbona magereza hawajapandisha bendera za chama?

Vp mtapita barabarani na shangwe Kama walivyofanya wale wa kijani na wapambe wao?

#Upole ukizidi unakuwa upoyoyo!
#Mud umefika wa kusema no to oppression, KWA VITENDO!

Siku wakipatikana watano tu wakinukisha nipo tayari,Sina cha kupoteza nimechoka
 
Km wasiposhirik ile namb ya wabunge waliyoipata hawataitetea Mnama.
Tena kuhusu wabunge ndo isahaulike kabisa hyo mnama, jamaa hataki kwa namna yoyote ile kuona mpinzan halisi akitia mguu wake pale mjengon, wapinzan vivuli utawaona baadhi. Bt kuhusu sugu, mdee, mnyika, bulaya, mbowe etc sahau mnama.
 
Hata hapo mwanzo hawakushinda kiwepes wanapaswa wajipange ipasavyo ili washinde tena.
 
Susan Lyimo ameshinda katika Kura za Maoni za kumteua mgombea wa Chadema Jimbo la Kinondoni. Amepata kura 71 kati ya 113. Sawa na asilimia 62.8. Amewashinda Moza Ally (Makamo Mwenyekiti Bavicha), Rose Moshi diwani Viti Maalum na Mbezi Mwombeki
Uwii mbavu zangu mimi wacha nicheke
Salum Mwalimu safari hajagombea kaingia mitini!!! Chadema imedoda safari hii,naona wamebakia tu wa kilimanjaro SUZAN Lyimo na Rose MOSHI ha ha
 
CHADEMA ya 2015 Leo mbona mbwembwe na pilika pilika zimepungua?
2015 tulikuwa hatupunui, kila kona combat na jezi nyekundu na nyeupe.
CCM waliogopa hata kuvaa mavazi yao.. Wasanii kila kukicha walitunga nyimbo za CHADEMA.leo kunani?
Jela za polisi siyo msalani
 
Hawako vizuri

2015 vyombo vyote vya habari vingefurika kwenye kumbi za kura za maoni kinondoni huko.Sasa hivi chadema limedoda
Unataka vyombo vya habari vifungiwe na kina Abbas ?
 
Back
Top Bottom