Uchaguzi 2020 Kumekucha: Mchakato wa kura za maoni kwa Wagombea ubunge wa CHADEMA waanza rasmi leo

Uchaguzi 2020 Kumekucha: Mchakato wa kura za maoni kwa Wagombea ubunge wa CHADEMA waanza rasmi leo

CHADEMA ya 2015 Leo mbona mbwembwe na pilika pilika zimepungua?
2015 tulikuwa hatupunui, kila kona combat na jezi nyekundu na nyeupe.
CCM waliogopa hata kuvaa mavazi yao.. Wasanii kila kukicha walitunga nyimbo za CHADEMA.leo kunani?
sasa hivi hali sio shwari kama Siku za nyuma, wanasiasa Wa upinzani wanapitia kipindi kigumu, hali hii haijaacha MTU, mpaka wasanii nao hivyo hivyo, mfano roma , sidhani kama amesharudi bongo, sasa hivi ni mwendo Wa tungo za kumsifia jiwe basi!
 
sasa hivi hali sio shwari kama Siku za nyuma, wamasiasa Wa upinzani wanapitia kipindi kigumu, hali hii haijaacha MTU, mpaka wasanii nao hivyo hivyo, mfano roma , sidhani kama amesharudi bongo, sasa hivi ni mwendo Wa tungo za kumsifia jiwe basi!
Wasanii waliogoma kugeuka jiwe ni Ney wa mitego..Roma mkatoriki ..Stamina ..Jide na Shamsha ford
 
Hii ni taarifa ninayoileta kwenu wana JF ili muwe wa kwanza kufahamu kinachoendelea .

Maandalizi yote yamekamilika na kaeni tayari kupewa taarifa zaidi kwa kadri zitakavyotufikia .

Mungu ibariki Chadema
Uweke updates hapa hapa,jimbo kwa jimbo,mshindi nani na amewabwaga wanachama wangapi
 
Hii ni taarifa ninayoileta kwenu wana JF ili muwe wa kwanza kufahamu kinachoendelea .

Maandalizi yote yamekamilika na kaeni tayari kupewa taarifa zaidi kwa kadri zitakavyotufikia .

Mungu ibariki Chadema
Vp mkuu polis waliwasaidia kupanga viti ukumbini Kama walivyofanya ule ukumbi karibu na hazina?

Vipi ulinzi umeimarishwa pia wakati mkiendelea na vikao vya chama?

Vipi mbona magereza hawajapandisha bendera za chama?

Vp mtapita barabarani na shangwe Kama walivyofanya wale wa kijani na wapambe wao?

#Upole ukizidi unakuwa upoyoyo!
#Mud umefika wa kusema no to oppression, KWA VITENDO!
 
Hii ni taarifa ninayoileta kwenu wana JF ili muwe wa kwanza kufahamu kinachoendelea .

Maandalizi yote yamekamilika na kaeni tayari kupewa taarifa zaidi kwa kadri zitakavyotufikia .
Niliiangalia ramani kwa makini sana, nikaelekeza macho karibu ya ziwa letu Nyasa, sehemu inayoitwa Kyela.

Sikuona dalili zozote zinazoonyesha maandalizi ya namna yoyote!

Roho yangu inaanza kuwa nzito.
 
Niliiangalia ramani kwa makini sana, nikaelekeza macho karibu ya ziwa letu Nyasa, sehemu inayoitwa Kyela.

Sikuona dalili zozote zinazoonyesha maandalizi ya namna yoyote!

Roho yangu inaanza kuwa nzito.
niko lunch kikao kinaendelea , ukiona ziwa nyasa jua umeiona Kyela
 
CHADEMA ya 2015 Leo mbona mbwembwe na pilika pilika zimepungua?
2015 tulikuwa hatupunui, kila kona combat na jezi nyekundu na nyeupe.
CCM waliogopa hata kuvaa mavazi yao.. Wasanii kila kukicha walitunga nyimbo za CHADEMA.leo kunani?
Kuna Udikteta Uchwara hadi kesi ile iishe unakuwa Udikteta kamili.
 
Back
Top Bottom