Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa sasa hakuna anayeipenda ccm dogo licha ya kuwamwagia pesa wasanii wa bongo fleva wammwagie sifa ambazo hazipo.zama mtaani na vijijini utaona walivyoichoka CCM.Watashinda? Au wanapoteza muda?
Wewe inakuhusu nini?Watashinda? Au wanapoteza muda?
Watashinda njaa.Watashinda? Au wanapoteza muda?
Watashinda? Au wanapoteza muda?
Bonge la picha yaani... Huyu aliyepiga asee Dah... Picha inaongea Maana zaidi ya milioni
kwa sasa ni hatua ya kura za maoniWatashinda? Au wanapoteza muda?
Hata najua basi !Yaani kumekucha kwa kutuwekea ramani ya TZ? Hivi wewe dada kwenye kichwa chako kuna nini akili au??
Sawa kura za maoni wakipita, October watashinda? Au ni kupoteza muda.kwa sasa ni hatua ya kura za maoni
Mbona unauliza majibu ?? Wagombea wenyewe wa ccm akina Steven Nyerere ??Sawa kura za maoni wakipita, October watashinda? Au ni kupoteza muda.
Subiri kidogo mkuu , naelekea kushinda kura za maoni , ngoja nitangazwe kwanzaSawa kura za maoni wakipita, October watashinda? Au ni kupoteza muda.
Kwa hiyo hujui ubongo wako umejaa nini?Hata najua basi !
Kwa akili yako wewe kugombea mpaka uwe na uhakika wa kushinda??!! Kwa hiyo unataka tuamini kwamba hujui maana ya uchaguzi?Sawa kura za maoni wakipita, October watashinda? Au ni kupoteza muda.
Huna uhakika wa kushinda kwa nini upoteze muda na pesa?Kwa akili yako wewe kugombea mpaka uwe na uhakika wa kushinda??!! Kwa hiyo unataka tuamini kwamba hujui maana ya uchaguzi?
Au ndiyo akili za kushikiwa??