CHADEMA ya 2015 Leo mbona mbwembwe na pilika pilika zimepungua?
2015 tulikuwa hatupunui, kila kona combat na jezi nyekundu na nyeupe.
CCM waliogopa hata kuvaa mavazi yao.. Wasanii kila kukicha walitunga nyimbo za CHADEMA.leo kunani?
Kwa sasa hakuna anayeipenda ccm dogo licha ya kuwamwagia pesa wasanii wa bongo fleva wammwagie sifa ambazo hazipo.zama mtaani na vijijini utaona walivyoichoka CCM.