Kumekucha: Mchambuzi wa Michezo anayekuja kwa kasi nchini George Ambangile wa Wasafi FM asema Ukweli huu Mchungu

Angeisifia Yanga SC yangekutoka haya?
 
Angeisifia Yanga SC yangekutoka haya?
Yasingenitoka haya, Simba wana wachezaji wazuri Chama, Miquessone, Kagere, Bocco. Na kipa mzuri sana, Manula.
Wengine ni wachezaji wa kawaida.
 
It seems watu wa Yanga ni waelewa sana. Uchambuzi huu ungesemwa kinyume kama wakati ule wa kampa, kampa tena, Zeruzeru angemwaga mitusi ya kilo mia. Inaonyesha tofauti kubwa sana.
 
It seems watu wa Yanga ni waelewa sana. Uchambuzi huu ungesemwa kinyume kama wakati ule wa kampa, kampa tena, Zeruzeru angemwaga mitusi ya kilo mia. Inaonyesha tofauti kubwa sana.
Mkuu kukosa kwako mafanikio na Timu yako ya Utopolo kwenye soka la ndani na Kimataifa kusikufanye ukejeli uumbaji wa Mungu.

Hujafa hujaumbika.
 
Sasa kama mna wachezaji wazuri hivyo si mchukue ubingwa hata mara moja bas.
 
Naona leo kuna Watu wamepiga Bomu Mochwari ya Mwadui Shinyanga na wanajisifu Kuua mara Mbili tu wakati huenda Yeye tarehe 3 July, 2021 akakumbana na Bomu la kweli kweli ambalo litamuua kama si Mara Saba basi mara Tisa kabisa kwa Mkapa Temeke.
🙌
 
Haya sasa matusi. Ata sarpong hawezi[emoji3][emoji3][emoji3] duma jeeee???? Ila nmejaribu kuwaza kimoyomoyo nikaona kidogooooo mukoko anaweza kuanza, feisal anaweza tokea bench, kisinda nae hivo hivo pamoja na yacuoba. Ukweli acha usemwe tu
 
Sawa
 
Yaani wewe ndo BWABWA kabisa. Mimi ni mwana YANGA ila umeandika upuuzi. Nyie ndo wale ambao bado mnaamini kuwa Yanga atakuwa bingwa msimu huu au ujao.

Acha ujinga,ongea kama mwana michezo. Pale Yanga hakuna timu,kuna kikundi cha wachezaji ambao nao ukiwavua zile jezi na kulitoa jina Yanga,Mwadui ana nafuu.

Tuwe wakweli.
 
Mkuu kukosa kwako mafanikio na Timu yako ya Utopolo kwenye soka la ndani na Kimataifa kusikufanye ukejeli uumbaji wa Mungu.

Hujafa hujaumbika.
Zeruzeru ni neno safi la Kiswahili kama ni hilo Mkuu. Sio tusi hilo. Angalia kamusi Mkuu.
 
Wewe siyo Yanga. Wewe ni Polisi umepangiwa buguruni Toka kwenu huko bush unaiga Mambo ya mjini.
Huuji mpira, kaangalie EPL hizi timu tunazijua vizuri sisi watoto wa mjini.
 
Amesema hivyo ni lini j'3 au j'4? na kwenye kipindi kipi cha sports Arena au sport court? maana Jana na juzi pamoja na Leo sijasikiliza redio kabisa nimekuwa busy sana mzee
 
Amesema hivyo ni lini j'3 au j'4? na kwenye kipindi kipi cha sports Arena au sport court? maana Jana na juzi pamoja na Leo sijasikiliza redio kabisa nimekuwa busy sana mzee
Acha Kunipotezea muda tafadhali sawa?
 
Huo ni mtazamo wake binafsi haina maana kwamba ni sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…