Kumekucha: Mchambuzi wa Michezo anayekuja kwa kasi nchini George Ambangile wa Wasafi FM asema Ukweli huu Mchungu

Kumekucha: Mchambuzi wa Michezo anayekuja kwa kasi nchini George Ambangile wa Wasafi FM asema Ukweli huu Mchungu

Acha Uwongo neno sahihi ni Mlemavu wa Ngozi na hata Watu wa BAKITA wamesisitiza tuwaite ( waitwe ) hivyo na siyo Zeruzeru.
Mlemavu wa ngozi ndiyo maana ya zeruzeru au albino. Kikubwa si tusi na kila mtu atumie limfaalo!
 
Simba hakuna holding midfield kama Mukoko.
Huwezi mfananisha babu wawa na Mwamnyeto hata dogo Job.
Kisinda anamkalisha Morrison.
Metacha bench la simba anamuondoa Kakolanya.
Yacouba ni mchezaji Bora kuliko Mugalu au Bwalya they are hopeless basi tu wanabebwa na Chama na Miquessone.



Bwalya, Mugalu
Hapo kwa bwalya sio kweli japo ni Yanga
 
Back
Top Bottom