Kumekucha Pemba, Wanawake watatu wapewa talaka kwa sababu za kisiasa

Kumekucha Pemba, Wanawake watatu wapewa talaka kwa sababu za kisiasa

Walitakiwa kuchagua kati ya ndoa na siasa. Mwanamke hana dini wala itikadi ya kudumu ndo maana haoi bali anaolewa.
 
Aaah kumbe huko, hata misiba hawazikani hao kisa tofauti za kisiasa
 
Mawakili wana CCM mburuzeni hicho kidume kimpe mali mahakamni huyo mwanamke kiliyemuacha hakuna cha msikitini ni mahakamani tu
Nawewe umeachika nini? Mbona umeumia sana?
 
Kwa maumivu tuliyosababishiwa na CCM kwenye uchaguzi huu hata mimi ningekuwa na mume ambaye ni CCM tungeachana tu.

Huyo jamaa aliyeacha mke anajielewa sana, ningekuwa single ningemtafuta lol
I love you Nifah , for this comment.
 
Back
Top Bottom