Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Nov 19, 2020 #41 Walitakiwa kuchagua kati ya ndoa na siasa. Mwanamke hana dini wala itikadi ya kudumu ndo maana haoi bali anaolewa.
Walitakiwa kuchagua kati ya ndoa na siasa. Mwanamke hana dini wala itikadi ya kudumu ndo maana haoi bali anaolewa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Nov 19, 2020 #42 Aaah kumbe huko, hata misiba hawazikani hao kisa tofauti za kisiasa
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Nov 19, 2020 #43 YEHODAYA said: Mawakili wana CCM mburuzeni hicho kidume kimpe mali mahakamni huyo mwanamke kiliyemuacha hakuna cha msikitini ni mahakamani tu Click to expand... Nawewe umeachika nini? Mbona umeumia sana?
YEHODAYA said: Mawakili wana CCM mburuzeni hicho kidume kimpe mali mahakamni huyo mwanamke kiliyemuacha hakuna cha msikitini ni mahakamani tu Click to expand... Nawewe umeachika nini? Mbona umeumia sana?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Nov 19, 2020 #44 Duh Ova
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 8,146 Reaction score 11,434 Nov 19, 2020 #45 Nifah said: Kwa maumivu tuliyosababishiwa na CCM kwenye uchaguzi huu hata mimi ningekuwa na mume ambaye ni CCM tungeachana tu. Huyo jamaa aliyeacha mke anajielewa sana, ningekuwa single ningemtafuta lol Click to expand... I love you Nifah , for this comment.
Nifah said: Kwa maumivu tuliyosababishiwa na CCM kwenye uchaguzi huu hata mimi ningekuwa na mume ambaye ni CCM tungeachana tu. Huyo jamaa aliyeacha mke anajielewa sana, ningekuwa single ningemtafuta lol Click to expand... I love you Nifah , for this comment.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Nov 23, 2020 #47 Tanzania, the land of Pisi kali. Tanzania nchi ya amani