Kumekucha sakata la Prince Dube na Azam

Kumekucha sakata la Prince Dube na Azam

Kwa sasa wachezaji wengi wenye ndoto za kufanya makubwa kwenye sika nchini, wanatamani kuchezea timu kubwa na yenye mafanikio yasiyo na mashaka kama Yanga.
 
Litaonekana kosa iwapo tu kama hukuwa na lengo la kutaka mchezaji aondoke.

Na hilo linakuja kama utaona kutaja kiwango cha pesa cha juu ni kama lengo la kuonesha wanamkomoa.

Pengine na nyinyi mlitakiwa mfanye kama hivi kuliko kumg'ang'ania mchezaji ambaye hakuwa tayari kuendelea kucheza kwenu.
Kwani hakuwa na mkataba
 
Timu ipo kwenye mashindano anaibuka mchezaji anataka kuvunja mkataba replacement ya huyo mchezaji itafanyika vipi mbona mambo mengine ni ya kutumia akili tu
Kama mchezaji hataki tena kuendelea kucheza hiyo timu, utaweza kumlazimisha?

Kumbuka pia, hata klabu inaweza pia kuvunja mkataba ili kuachana na mchezaji wake na ikawajika kumlipa mchezaji. Hivi ni vitu kawaida katika mambo ya mikataba.
 
Back
Top Bottom