Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

Wee nae Chenga kweli yani, haya magaidi ya Ki Iran yanatakiwa yabinywe kweli hadi yafe yote

Walivyo shambulia kambi za Marekani Iraq mlidhani Marekani wameufyata?? Na bado Umoja wa Mataifa ni chombo cha Marekani, sasa huelewrki unacho pinga nini
Hao marekani ambao hawana vikwazo corona imewaacha salama? Vipi italy kwa papa?
 
Marekani ana ushawishi Asia yote, pamoja na hiyo ya kati, labda kama kwa akili yako Asia ya kati ni Iran hapo sawa, hapo ndo maana nikataja na Japan, nk.

Kwan nan kasema Iran ana ugomvi na Russia?! Wewe ulisema walipewa huo mfumo nami nikakuambia alinunua hawakupewa, hayo ya ugomvi ni ya kwako.

Ndiyo urafiki wa china na US ni wa kibiashara zaidi, na hakuna urafiki muhimu wa nchi na nchi na hata mtu na mtu kama urafiki unaohusu Mambo ya kiuchumi. Umesema US akizingua anazinguliwa! Kwa akili yako Iran akizingua hazinguliwi[emoji1787][emoji1787][emoji1787], kwa taarifa yako Iran ndo atazinguliwa bila hata kufikiria Mara mbilimbili, kama kuzingua US ashamzingua mno mchina, akafurukuta weee lakin baadae akaona inakula kwake akajisalimisha mwenyewe Washington, lakin Iran akizingua yaani mapema tu mchina anakata umeme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…