Vipi hiyo corona haiwasumbui US?Iran imeshikwa pabaya safari hii,subiri uone hayo masharti watakayopewa maana wameingia kingi wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi hiyo corona haiwasumbui US?Iran imeshikwa pabaya safari hii,subiri uone hayo masharti watakayopewa maana wameingia kingi wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao marekani ambao hawana vikwazo corona imewaacha salama? Vipi italy kwa papa?Wee nae Chenga kweli yani, haya magaidi ya Ki Iran yanatakiwa yabinywe kweli hadi yafe yote
Walivyo shambulia kambi za Marekani Iraq mlidhani Marekani wameufyata?? Na bado Umoja wa Mataifa ni chombo cha Marekani, sasa huelewrki unacho pinga nini
Ishu hapa ni corona, je marekani wapo salama?Ngoja waje waa-iran wa bongo,utasikia Iran mwisho wa habari. USA wanaigwaya iran
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani ana ushawishi Asia yote, pamoja na hiyo ya kati, labda kama kwa akili yako Asia ya kati ni Iran hapo sawa, hapo ndo maana nikataja na Japan, nk.Nazungumzia Asia ya kati au Central Asia au Mddle Asia, mbona huelewi? Japan na IndiA Zimetokea wapi? au hujui central Asia? kuna nchi zifuatazo.
Nilisema kwa sababu wangekuwa na ugomvi Russia asingefanya biashara ya silaha na Iran sawa na US kuuza f35 kwa Russia , ndio maana wamekataa kuuza f35 kwa Turkey kwa kisa cha cha kufanya biashara ya s-400, sio kwamba sijui hata India ana s300.
China ni muhimu kwa US kwenye business, ila US akizingua, anazinguliwa kama kawaida, ambacho hujui nilitoa list ya kampuni za kimarekani zinazozalisha bidhaa zake China ni nyingi sana, unaweza kueleza kwa nini wasifanye investment India, Brazil au Mexico?
Ukipata jibu ndio ujue China ni nani kwa US.