Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

Ni sawa, sasa hao UN ndio watawaondolea vikwazo au wataishinikiza vipi serikali ya America iondoe?

Nchi kama ile inayofanya smuggling ya ballistic missiles na nuclear weapons inaomba x-ray mataifa mengine, haina dawa za kutibu wananchi wake hao ni watawala au walalwa?
Wanatumia pesa kibao kufadhili makundi ya kigaidi Hammas na Hezbollah ule msemo wenu wa allah aliwapelekea wachina corona kwa kuchoma koran na miskiti sasa sijui utaendelea kubadirika kwa namna gani
Wakishamaliza Kueka Vikwazo Wajue Nawao Watakufa Tu[emoji23][emoji23]

Navikwazo Nisuala lamuda tu nakama Nyuklia Na Balistic Ni Magendo Basi Mtaumia Sanaa Maana Hawatakaa Waache Na Siku Mkajitia Ujinga Mkajifanya Mnaivamia IRAN Kijeshi Ndio Mtaelewa Kama Waliipata Teknolojia Yanyuklia Kimagendo Kwaajili Ya nini

Endeleeni tu kuteseka ila hwatakaa waachane na nyuklia na ballistics milele kama mnateseka tesekeni tuu[emoji16][emoji23][emoji3]

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Katika hali ya Kutisha iliyoikumba Nchi ya Iran... sasa Wameomba Po na kuomba Marekani iwaondolee Vikwazo katika idara ya Afya ili iweze kupambana na Gonjwa Jipya la Mafua linaloua kwa kasi raia wa Iran ambapo hadi kufikia leo mapema ni Raia 413 walishadanja huku raia zaidi ya elfu kumi wakiwa wanaugua wakiwepo viongozi wa Juu na Wabunge...Waziri wa mambo ya nje wa Iran Bwana Zarif alitweet huku akiomba Msaada wa Dawa na Vifaa walivyopungukiwa nchini Mwao as ni Msaada wa Haraka Sana so tusubiri Majibu ya Marekani watasemaje au Wataruhusu Channel ziwafikie Wairani wapate Msaada huo...Zile Tambo


Iranian Foreign Minister Mohammad Javad Zarif has written a letter to the United Nations secretary general, urging lifting of the unilateral and illegal sanctions imposed by the United States on the country, which have greatly hampered the Islamic Republic’s fight against the new coronavirus epidemic.
Iran’s Foreign Ministry spokesman, Abbas Mousavi, reported the letter in a tweet on Thursday, saying that copies of the letter addressed to Antonio Guterres were also sent to the heads of international organizations and Zarif’s counterparts across the world.

Despite the high scientific standing of the Iranian health apparatus and its commitment to the ongoing fight against the coronavirus outbreak, the complications created by the US sanctions “have faced Iran’s fight with the COVID-19 outbreak with serious impediments,” Zarif said in his letter.

Novel coronavirus, or COVID-19, is a new respiratory disease first identified in the central Chinese city of Wuhan late last year. The World Health Organization on Wednesday described the outbreak as a pandemic.
More than 126,000 people have been infected by the virus across the world and 4,630 have died, the vast majority of them in China, according to a Reuters tally.
Iran’s Health Ministry spokesman Kianush Jahanpur told state television on Thursday that 1,075 new confirmed cases of COVID-19 have been detected across the country in the last 24 hours, which brings the total number of infected people to 10,075. He also put the death toll at 429.
Elsewhere in his letter, Zarif said the US’ renewed sanctions had come in the way of legal trade with Iran amid the outbreak, adding that American officials have recently set some preconditions with the aim of preventing sales of medicine, medical equipment, and humanitarian commodities to the Islamic Republic.
The US reinstated its sanctions against Iran in May 2018 after leaving a UN-endorsed nuclear agreement with Iran and the P5+1 group of countries.
Tehran sued Washington at the International Court of Justice afterwards. The tribunal ruled that the US should lift its sanctions on humanitarian supplies.
The letter by the Iranian foreign minister then offered a breakdown of how else the US’ adversarial sanctions were targeting Iran’s economy.
Zarif pointed to US sanctions on Iran’s oil sales and the Iranian private sector’s export activities, noting that the restrictions are reducing the Iranian government’s ability to provide Iranians with subsidies on staples, while also weakening the private sector’s production and job creation capabilities.
Tehran: US doesn’t allow Iran to use Swiss trade channel for importing medicine

Zarif described the sanctions preventing Iran’s purchase of medicine and medical equipment as “multi-layered” bans targeting the financial, transportation, insurance, and banking sectors.
Through its draconian measures, the US is trying to bring Iran’s aviation activities to a halt by denying its aviation sector navigation equipment and software, Zarif said.
Most recently, American companies have also been stonewalling Iran’s access to the information technology tools that would help it confront the virus, he noted.

Zarif also released a list of medical equipment that Iran urgently needs in its fight against the coronavirus outbreak, saying that although “Iranian care personnel are courageously battling #COVID19 on frontlines, their efforts are stymied by vast shortages caused by restrictions on our people's access to medicine/equipment”

View image on Twitter

The US success in bringing Iran under the pressure was to some extent rooted in the international community’s inaction in the face of Washington’s illegal measures, the top diplomat remarked in the letter.
The letter finally demanded an immediate end to the US acts of economic terrorism against the Iranian people. It reminded the UN and its member states of their duty to accommodate the Iranian people and government’s request for cessation of the US policy towards Iran, and urged that the UN chief circulate the letter at the Security Council and the General Assembly.
Tatizo la kafiro hata km issue haipo alimuradi kuna nafasi ya kuonyesha udhaifu wwt juu ya taifa la Kiislamu basi utamuona Huyo katoa kichwa km wale Mijusi wao kafiri.

Irani imewekewa Vikwazo na makafiri zaidi ya miaka 30. Na imeweza kuwatandika hao makafiro with just a press of a button. Wewe mlokole unatunga unafiki ati Irani Inaomba msaada.
We ndo dada kweli kweli.

.
 
Hivi uongo unawasaidia nini?

Wapi katika chanzo ilipoandikwa kuwa Iran "Wameomba MareKani"? Kama ulivyozuwa

Iran imeuandikia Umoja wa Mataifa na haikwaeiliqnq na Marekani. Acha uongo. Soma tafsiri ya kilichoandikwa Kwa Kingereza...

AFP) Waziri wa Mambo ya nje wa Irani Mohammad Javad Zarif ameandika barua kwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, akihimiza kuiondolea vikwazo visivyo vya kisheria na visivyo halali vilivyowekwa na Amerika kwa nchi hiyo, ambayo imezuia sana mapigano ya Jamhuri ya Kiislamu dhidi ya janga jipya la coronavirus. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran, Abbas Mousavi, aliripoti barua hiyo katika barua pepe ya Alhamisi, akisema kwamba nakala za barua iliyoelekezwa kwa Antonio Guterres pia zilitumwa kwa wakuu wa mashirika ya kimataifa kote ulimwenguni.
Sasa kama vikwazo vimewekwa na Amerika kwanini anamuomba UN amuondolee?
 
Si wale wairan wa Magomeni walidai wao wamezoea vikwazo hivyo haviwatishi sasa tena hichi kilio kinatoka wapi.

Tuliaminishwa kuwa Iran ni nchi yenye wataalam waliobobea ktk nyanja mbali mbali sasa mbona tena wanalia? Wamuombe tu allah atawarehemu waja wake.
 
Wakishamaliza Kueka Vikwazo Wajue Nawao Watakufa Tu[emoji23][emoji23]

Navikwazo Nisuala lamuda tu nakama Nyuklia Na Balistic Ni Magendo Basi Mtaumia Sanaa Maana Hawatakaa Waache Na Siku Mkajitia Ujinga Mkajifanya Mnaivamia IRAN Kijeshi Ndio Mtaelewa Kama Waliipata Teknolojia Yanyuklia Kimagendo Kwaajili Ya nini

Endeleeni tu kuteseka ila hwatakaa waachane na nyuklia na ballistics milele kama mnateseka tesekeni tuu[emoji16][emoji23][emoji3]

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Yupi mjanja anayetumia pesa nyingi kutengeneza silaha za hatari na kufadhili makundi ya kigaidi huku akiomba asaidiwe mashine za x-ray pamoja na dawa au yule mwenye masilaha mazito mazito na ana viwanda vyinavyotengeneza medical facilities zote?
 
Kwani uliandikiwa wewe?

Wewe hata maana ya neno "diplomacy" huielewi.

US wewe wanakuhusu nini? Unafikiri Corona anachaguwa?
Ningekuwa na access ningemshauri akae sahani moja na mchina kipindi hiki kigumu
 
Vikwazo vinasimamiwa na umoja wa mataifa au marekani?
Hili gonjwa hatari kwanza ilikuwa inasemekana wachina wamechana kitabu kitakatifu sasa Iran nao.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mada hapa ni kusimamiwa na Nani au uzushi kuwa Iran kawaomba Marekani?

Wapi, nukuu tafadhali, Iran alipomuomba "poo" Marekani au yeyote yule?

Ukishindwa basi elewa kuwa unatetea uongo, uzushi na ujinga. Anaetetea uongo, uzushi na ujinga na yeye anakuwa nani?
 
Nukuu kwenye habari iliyoletwa ya chanzo,ni wapi Iran kaomba "poo" kama unavyozusha.

Au lugha iliyotumika inakupiga chenga? Au ni uzushi wako tu ili mabwana zako waonekane wabora sana?

Si kaomba poo vikwazo vya US viondolewe, au labda kaomba nini?!
Au unapinga tu ili mabwana zako mashia ya uajemi waonekane bora?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi uongo unawasaidia nini?

Wapi katika chanzo ilipoandikwa kuwa Iran "Wameomba MareKani"? Kama ulivyozuwa

Iran imeuandikia Umoja wa Mataifa na haikwaeiliqnq na Marekani. Acha uongo. Soma tafsiri ya kilichoandikwa Kwa Kingereza...

AFP) Waziri wa Mambo ya nje wa Irani Mohammad Javad Zarif ameandika barua kwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, akihimiza kuiondolea vikwazo visivyo vya kisheria na visivyo halali vilivyowekwa na Amerika kwa nchi hiyo, ambayo imezuia sana mapigano ya Jamhuri ya Kiislamu dhidi ya janga jipya la coronavirus. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran, Abbas Mousavi, aliripoti barua hiyo katika barua pepe ya Alhamisi, akisema kwamba nakala za barua iliyoelekezwa kwa Antonio Guterres pia zilitumwa kwa wakuu wa mashirika ya kimataifa kote ulimwenguni.
Vikwazo vimewekwa na UN au USA?
Siungi mkono vikwazo kwa Iran
 
Yupi mjanja anayetumia pesa nyingi kutengeneza silaha za hatari na kufadhili makundi ya kigaidi huku akiomba asaidiwe mashine za x-ray pamoja na dawa au yule mwenye masilaha mazito mazito na ana viwanda vyinavyotengeneza medical facilities zote?
Mjanja anaetengeneza silahanakusaidia wanyonge pamoja nakujilinda yeye kamayeye ili asiletewe upuuzi nawapuuzi kama wa US

Sent using Jamii Forums mobile app
 
us mtamuomba nyie sio watu wanaojitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
Iran imeshaiandikia UN kuomba vikwazo vya US viondolewe, bas itakuwa Iran hawajitambui.


Na pia wameshapiga yowe vikwazo vinawaumiza mno, na ukishaona mtu amepiga yowe Ni wakuhurumiwa kwa kweli. US wawe na huruma.
Screenshot_2020-03-15-09-39-37-17.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom