Kumekucha: Vikosi vya Israel vyawataka wakazi wa Rafah kuhama wakati vikijianda kushambulia

Kumekucha: Vikosi vya Israel vyawataka wakazi wa Rafah kuhama wakati vikijianda kushambulia

Vikosi vya Israel vyaanza kuingia Rafah 🤔
....
The Israeli military confirms that its 401st Armored Brigade captured the Gazan side of Rafah Crossing this morning.

The crossing with Egypt is now disconnected from the Salah a-Din road in eastern Rafah, which was separately captured by the Givati Brigade in the overnight offensive.

In the overnight operation, some 20 gunmen were killed and troops located three “significant” tunnel shafts, according to the IDF.


Also amid the offensive, an explosive-laden car driving toward an IDF tank was struck and destroyed, the military says.

No soldiers have been wounded in the operation so far.

Troops are now searching the area and preparing for additional missions.

Meanwhile, more than 50 Hamas sites in Rafah were struck by the Air Force overnight, according to the military
 
Leo ngoja niwe Neutral ili nisitukanwe na mimi
Wakati huo huo kaskazin ishachukuliwa na israel. Na israel inasema hao mateka kaeni nao tu hata mkiwaachilia vita ipo pale pale.
Hakuna hamas kaskazin bado rafa wakimaliza rafa. Oder itakua inatolewa telaviv inafuatwa had rafa.
Halaf wanaenda lebanon kumalizana na hizbullah
Haya mambo mnayaongea kirahisi sana!
Haya, ngoja tuendelee kutazama.
 
Ila kuna wakati haya mambo yanafikirisha mpaka unaweza kujikuta unakufuru. Kivipi?
Najiuliza tu, ina maana hao watu wa kawaida hapo Gaza kosa lao ni kuzaliwa tu eneo hilo la Gaza!? Watu maisha yao yanakatishwa kwasababu ya kuzaliwa tu Gaza!? Vuta picha wewe ungekuwa umezaliwa eneo la Gaza, ungefanyaje!?
 
Na ninyi wavaa vipedo, misuli na makobazi wa kwa Buza kwa mama Bonge anzeni kuandamana 🤔
kimsboy
@greenrajab
Ritz
FaizaFoxy
@Alwaz
 
Wanavowaambia wahamie wapi watu wote hao na kuruka misri hawaruhusiwi hata kidogo
 
Muisrael mweusi anawasema Wapelistina 😀
Hamna kipindi Wapestina wamekuwa kitu kimoja kama sasa hivi mabasha zako walikuwa wanadhani wakiwauwa raia wasiyokuwa na hatia watawachukia Hamas ajabu waoenda haki wote duniami mpaka wanafunzi wa Marekani na Ulaya wote ni Hamas.
Matusi ya nini Maalim?Mbona kwenye nyuzi zako wenzio hawatukani?Au ndo mnafundishwa hivyo madrasa?
 
Mazungumzo yapo wazi na msimamo wa Hanas upo wazi kama Israel hawataki kutoa jeshi basi waingie Rafah.

🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH

Taarifa Rasmi ya Hamas:

"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi wapatao milioni moja na nusu na watu waliokimbia makazi yao, na onyo lake kwa watu kuondoka maeneo ya mashariki mwa mji huo. mashambulizi ya mara kwa mara ya anga na mizinga, ambayo yaliacha mauaji ya raia wasio na hatia, jinai ambayo inathibitisha sisitizo la serikali ya gaidi Netanyahu ya kuendeleza vita vya maangamizi.

Dhidi ya watu wetu.

Operesheni yoyote ya kijeshi huko Rafah, haitakuwa picnic kwa jeshi la uvamizi la fashisti, na upinzani wetu shupavu, unaoongozwa na Brigedi za Qassam, umejitayarisha kikamilifu kuwalinda watu wetu, kumshinda adui huyu, kuharibu mipango yake, na kuzuia malengo yake.

Tunatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka kukomesha uhalifu huo unaotishia maisha ya mamia kwa maelfu ya raia wasio na ulinzi wakiwemo watoto, wanawake na wazee.

Pia tunatoa wito kwa mashirika na mashirika ya kibinadamu, yanayoongozwa na UNRWA, kubaki katika maeneo yao katika mji wa Rafah na kutouacha, au kutii matakwa ya uvamizi wa kifashisti."


Hafafu wewe punguani unakuja na uharo unawesemea Hamas.
Chanzo: Hamas Rasmi tg




View: https://x.com/marionawfal/status/1787454652931264898?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kwa Myahudi hamas kayakanyaga
 
Ila kuna wakati haya mambo yanafikirisha mpaka unaweza kujikuta unakufuru. Kivipi?
Najiuliza tu, ina maana hao watu wa kawaida hapo Gaza kosa lao ni kuzaliwa tu eneo hilo la Gaza!? Watu maisha yao yanakatishwa kwasababu ya kuzaliwa tu Gaza!? Vuta picha wewe ungekuwa umezaliwa eneo la Gaza, ungefanyaje!?
Mchuma janga Hamas. Hula na wa kwao.
Wanaofata ushauri wa israel hata hawafi sana. Unaliona hamas lina kuja kwenye jengo lako limeshika rpg. Na wew unakubal atumie jengo hilo hilo. Walipaswa wakimbie ilo eneo. Rubani kaona RPG. imerushwa tokea humo na mrushaji kavaa kanzu na kobazi rubani atajuaje huyu raia au mwanajeshi?
Rubani akiangalia chini anaona wote kama watoto hadi asogelee karibu ndo anajua huyu mtoto kweli huyu shababi so kuepuka usumbufu. Anaachia kimba moja kubwa wenyewe mtajua nani mtoto nani askar.

Ooh Haleluya
 
Back
Top Bottom