Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani anaeenda kumtetea nay ni lisu au kibatala?Wahuni tu kutafuta kick, vitu vya maslah kwa wengi huwaoni ila issue za akina wema sepegu utawaona! Lisu sio wa kujifanya anajua kutetea wanyonge ilihal vijana wanagongwa 18% loan bodi huko, angekuwa mkweli angeonekana bt ni wauza sura
KebehiMzee kuna tusi gani pale
Usingekuwa huru usingejieleza hata kwenye jukwaa hili!uhuru bila mipaka haukuabaliki hata kanisani/msikitini!nyumbani kwako kunamipaka pia!Kwako mambo ya kijinga ni yapi?! WaTz wawe huru kuwaonyesha watawala mapungufu yao. Na nikuambie hata siku moja watu hawawezi kufanana mawazo .
kama ilivyo ccm inavyomtetea bashite zero......yaani fa fa fa fa fa fa.....Chadema sasa ni Chama cha kutetea wahalifu mwisho kitakuwa Chama cha magaidi dawa ni kukifuta kama vile MUSLIM BROTHERHOOD
Loan bodi ya wapi hiyo inagonga 0.18 au ya koromije ????? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wahuni tu kutafuta kick, vitu vya maslah kwa wengi huwaoni ila issue za akina wema sepegu utawaona! Lisu sio wa kujifanya anajua kutetea wanyonge ilihal vijana wanagongwa 18% loan bodi huko, angekuwa mkweli angeonekana bt ni wauza sura
Karibu sana nchiniPolisi wa Tanzania bhana:
1.Video ya uvamiz wa RC wa Dsm katika kituo cha Clouds Media hawakuiona
2. Video ya askari aliyemtishia bunduki Mh. Nape Nauye ilhali akiwa hana silaha na mikono kaweka mfukoni pia hawakuiona
3. Ila wimbo wa Ney wa Mitego wameusikiaa na wameshamkamata....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi hapo mkuu, kesi ipo au zuga zuga time?hahahaha Nay ndicho alicho taka na sasa kafanikiwa...alitaka kuonana na wakina Lissu na Kibatala kupitia kiki ya matusi na watetezi wamejitokeza
na unaweza kosa usingizi kwa kujishuku...ila sijapata bahati ya kuusikiliza huu wimbo. Nijue kilichopo ndani yakewell done!,wasipotokea akina ney JE ni nani atatusemea?...
•how can you prove kama mistari ya muziki imegusa mtu yeyote?
•HAKUNA KITU KIBAYA KAMA KUJISHUKU...!
Xn..kesi nyepesi hii
Ndipo watakapotueleza Daudi Bashite ni nani! pia wasanii huwa wanaimba matukio yaliyopo, yaliyowata hata ya kufikirika , yeye kaimba matukio ya kufikirika hajataja mtu, inawezekana ni maono aliyoana kuwa anaweza akatokea mtu wa aina hiyo.Ney katumia fasihi tu hajataja jina lolote la kiongozi na hakuna neno la kashfa lolote alilolitaja kwenye wimbo wake, anayetakiwa kukamatwa na kushtakiwa ni yule anayejihisi ameimbiwa yeye. Huwezi kumfunga mtu kwa kutoa mawazo yako kichwani na kutafsiri. Labda kama mahakama itathibitisha pasipo na shaka kuwa kiongozi fulani hapendi kushauriwa, au kiongozi fulani ni kweli amepoteza marinda hivyo kuimbwa ni kumdhalilisha, au Bashite wa kolomije ni jina halali kisheria la kiongozi fulani,
Polena unaweza kosa usingizi kwa kujishuku...ila sijapata bahati ya kuusikiliza huu wimbo. Nijue kilichopo ndani yake
Asante. Ila ntauptaPole
Diamond yupoo au Anamsifia Bashite kwa utendaji wake wa kaziNice Ney wa mitego
Super women 2 mpk huku upo?? Tumezoea kukutana kwenye lile jukwaa letu lile hahaha.na unaweza kosa usingizi kwa kujishuku...ila sijapata bahati ya kuusikiliza huu wimbo. Nijue kilichopo ndani yake