GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama ni mtumaji wa mitandao ya kijamii hususan Instagram, utakubaliana na mimi juu ya ongezeko la watu wanaouza vilaini (lubricant) kwa ajili ya kusaidia wanawake wasipate michubuko wakati wa tendo la ndoa.
Kila mmoja akiuza bidhaa ya aina yake, njia tofauti zimekuwa zikitumika katika kuwashawishi wateja kununua vilainishi hivyo, ili waepuke maambukizi, michubuko wanayoweza kupata wanapokutana na wenza wao.
Licha ya faida yake kutajwa na kuonekana kweli inaweza kusaidia, watalaamu wa afya wanapinga suala hilo, wakitaka wanawake kuacha kununua holela vilainishi hivyo na kuvitumia na badala yake wafike hospitalini kwa ajili ya vipimo ili wasaidiwe.
Chanzo: mwananchi_official
Tuacheni Sisi Wanaume tutembee nayo kwani huwa tuna Matumizi nayo Maalum kwa Wanawake Wapenda Pesa zetu.
Cc: mrangi