Kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha, mhimili wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?

Sasa hivi bidhaa zilizokuwa zinatoka Tanzania na kuingizwa nchi jirani, zimegeuka zinatoka nchi jirani na kuingia Tanzania.
Aisee huko rombo au?

USSR
 
Bodi nyingi wamejaa wafanyabiashara...wewe mwigulu mwenyewe unafanya biashara alafu upunguze bei, hupendi super profit?...alafu mkuu

Tozo vp zimeishia wap? Mbona madarasa yanajengwa na pesa ya COVID-19
 
Ndala ya chooni
 
Inflation is a problem
Unfortunately naona mwenye sera kakaa kimya which to me means anasukumia mamlaka za juu mzigo

He should work with his teams with the ministry and address inflation issue
 
That's ironic USSR. Collin Powell alifariki Oktoba mwaka huu.
Jamaa hajasema Collin Powell bali kasema Powell.
Kwani Marekani kuna Powell wangapi?

Jerome Powell yupo na kaongea kweli.
Tusikariri mambo.
Huyo siyo retired Four Stars General Collin Powell aliyefariki kwa COVID 19.
 
Ok sawa ,so beberu Powell anaishu gani hapa town

USSR
Nilikuwa naweka rekodi sawa.
Kuhusu mfumuko wa bei kweli hali ni mbaya sana huku uraiani.

Mama arekebishe jambo.
 
Acha malalamiko Unashinsa hapa mitandaoni kulamba watu viatu badala ufanye kazi uendani na mfumuko wa bei.
 
Wapo bungeni wanampigia pambio, vigelegele na ndelemo m/kit wao wa chama, na mwisho kabisa wanalipwa posho ambayo Ni jasho litokanalo na tozo za wavuja jasho!

Pale Hamna wabunge, Bali mbumbumbu wamejazana mle wakiguata mkondo wa m/kit
Ooohoooo,wanaiita lugha ya kuudhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…