USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Aisee huko rombo au?Sasa hivi bidhaa zilizokuwa zinatoka Tanzania na kuingizwa nchi jirani, zimegeuka zinatoka nchi jirani na kuingia Tanzania.
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee huko rombo au?Sasa hivi bidhaa zilizokuwa zinatoka Tanzania na kuingizwa nchi jirani, zimegeuka zinatoka nchi jirani na kuingia Tanzania.
😂😂😂😂Kwa Mimi ninavyojuwa wewe Ussr ndio mwigulu
Sasa sijui umekuja kupima upepo??
Sukuma Geng poleni
Mama samia mitano mingine
Vijna pombe na bangi zinawaharibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anajua mwenyewe kamsikia wapi akiongea.
Ndala ya chooniKutengeneza uchumi uliovurugwa na Magufuli kwa umbumbumbu wake kwa miaka 5 siyo lelemama. Sera, mikakati na mipango ya uchumi haiwezi kukupa majibu ya haraka haraka. Kuna sera zitaumiza mwanzoni lakini mwishoni tuta stabilize.
Vitu kama unemployment, investment and FDR, harsh tax policies, implementation of mega projects simultaneously kwa Mwendazake ni maeneo ambayo alifanya vibaya
Inflation is a problemMnataka niwaaambieje kweni nyie hamuendi kufanya manunuzi ,kipi bei haijapanda.
Ni miezi tu tangu Samia achukue kitu kila kitu kinapaa tena kina kimbia hasa.
Wananchi wanahasira tena inafuka na hasira hizi ni kwenye box la kura .
Mwigulu yupoyupo tu hataki kupambana na walanguzi hasa magabachori kila mtu anauza atakavyo ni matatizo
Samia anauwa uchumi na taifa halitamsamehe
USSR
Jerome Powell yupo hai, acheni kupotoshaAcha uwongo,,powel ALIISHAFARIKI
Huyu mtu yupo hai.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anajua mwenyewe kamsikia wapi akiongea.
Nouma sana😂Vijna pombe na bangi zinawaharibu
Acha uwongo,,powel ALIISHAFARIKI
Jamaa hajasema Collin Powell bali kasema Powell.That's ironic USSR. Collin Powell alifariki Oktoba mwaka huu.
Nilikuwa naweka rekodi sawa.Ok sawa ,so beberu Powell anaishu gani hapa town
USSR
Acha malalamiko Unashinsa hapa mitandaoni kulamba watu viatu badala ufanye kazi uendani na mfumuko wa bei.Mnataka niwaaambieje kweni nyie hamuendi kufanya manunuzi ,kipi bei haijapanda.
Ni miezi tu tangu Samia achukue kitu kila kitu kinapaa tena kina kimbia hasa.
Wananchi wanahasira tena inafuka na hasira hizi ni kwenye box la kura .
Mwigulu yupoyupo tu hataki kupambana na walanguzi hasa magabachori kila mtu anauza atakavyo ni matatizo
Samia anauwa uchumi na taifa halitamsamehe
USSR
Noma sanaNilikuwa naweka rekodi sawa.
Kuhusu mfumuko wa bei kweli hali ni mbaya sana huku uraiani.
Mama arekebishe jambo.
Ni mbaya na kwenu wana ccm wenye chama lao?Nilikuwa naweka rekodi sawa.
Kuhusu mfumuko wa bei kweli hali ni mbaya sana huku uraiani.
Mama arekebishe jambo.
Hata kwenu wenye kadi za kijani?Hii bei ya mbolea ndio imeharibu kila kitu!
Mbolea za nini mkuu, Wakati mvua zimegoma kunyesha.Hii bei ya mbolea ndio imeharibu kila kitu!
Ooohoooo,wanaiita lugha ya kuudhiWapo bungeni wanampigia pambio, vigelegele na ndelemo m/kit wao wa chama, na mwisho kabisa wanalipwa posho ambayo Ni jasho litokanalo na tozo za wavuja jasho!
Pale Hamna wabunge, Bali mbumbumbu wamejazana mle wakiguata mkondo wa m/kit