Kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha, mhimili wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?

Kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha, mhimili wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?

Sasa hivi bidhaa zilizokuwa zinatoka Tanzania na kuingizwa nchi jirani, zimegeuka zinatoka nchi jirani na kuingia Tanzania.
Aisee huko rombo au?

USSR
 
Bodi nyingi wamejaa wafanyabiashara...wewe mwigulu mwenyewe unafanya biashara alafu upunguze bei, hupendi super profit?...alafu mkuu

Tozo vp zimeishia wap? Mbona madarasa yanajengwa na pesa ya COVID-19
 
Kutengeneza uchumi uliovurugwa na Magufuli kwa umbumbumbu wake kwa miaka 5 siyo lelemama. Sera, mikakati na mipango ya uchumi haiwezi kukupa majibu ya haraka haraka. Kuna sera zitaumiza mwanzoni lakini mwishoni tuta stabilize.

Vitu kama unemployment, investment and FDR, harsh tax policies, implementation of mega projects simultaneously kwa Mwendazake ni maeneo ambayo alifanya vibaya
Ndala ya chooni
 
Mnataka niwaaambieje kweni nyie hamuendi kufanya manunuzi ,kipi bei haijapanda.

Ni miezi tu tangu Samia achukue kitu kila kitu kinapaa tena kina kimbia hasa.

Wananchi wanahasira tena inafuka na hasira hizi ni kwenye box la kura .

Mwigulu yupoyupo tu hataki kupambana na walanguzi hasa magabachori kila mtu anauza atakavyo ni matatizo

Samia anauwa uchumi na taifa halitamsamehe

USSR
Inflation is a problem
Unfortunately naona mwenye sera kakaa kimya which to me means anasukumia mamlaka za juu mzigo

He should work with his teams with the ministry and address inflation issue
 
That's ironic USSR. Collin Powell alifariki Oktoba mwaka huu.
Jamaa hajasema Collin Powell bali kasema Powell.
Kwani Marekani kuna Powell wangapi?

Jerome Powell yupo na kaongea kweli.
Tusikariri mambo.
Huyo siyo retired Four Stars General Collin Powell aliyefariki kwa COVID 19.
 
Ok sawa ,so beberu Powell anaishu gani hapa town

USSR
Nilikuwa naweka rekodi sawa.
Kuhusu mfumuko wa bei kweli hali ni mbaya sana huku uraiani.

Mama arekebishe jambo.
 
Mnataka niwaaambieje kweni nyie hamuendi kufanya manunuzi ,kipi bei haijapanda.

Ni miezi tu tangu Samia achukue kitu kila kitu kinapaa tena kina kimbia hasa.

Wananchi wanahasira tena inafuka na hasira hizi ni kwenye box la kura .

Mwigulu yupoyupo tu hataki kupambana na walanguzi hasa magabachori kila mtu anauza atakavyo ni matatizo

Samia anauwa uchumi na taifa halitamsamehe

USSR
Acha malalamiko Unashinsa hapa mitandaoni kulamba watu viatu badala ufanye kazi uendani na mfumuko wa bei.
 
Wapo bungeni wanampigia pambio, vigelegele na ndelemo m/kit wao wa chama, na mwisho kabisa wanalipwa posho ambayo Ni jasho litokanalo na tozo za wavuja jasho!

Pale Hamna wabunge, Bali mbumbumbu wamejazana mle wakiguata mkondo wa m/kit
Ooohoooo,wanaiita lugha ya kuudhi
 
Back
Top Bottom