Kumekuwa na wimbi la wauza maziwa mitaani na barabarani, Je maziwa hayo ni salama?

Waambie vijana hakuna kiumbe kisicholiwa chini ya hii dunia,kwahiyo kama yeye hatumii kuna watu wanatumia
 
Mm naona ni maziwa salama kwani pia vijana wengi wamepata kuinuka kiuchumi kutokana na biashara hii Cha kuzingatia mnunuzi kuwa makini wakati unataka bidhaa hii
 
Nashukuru kwa kutambua hilo!, nadhani baada ya kufanya hivyo huyaweka blue band ili tuyaone ni halisi kutoka kwa ngombe!
 
Dar es salaam mnayo kazi humu vijini tunanyonya direct from nyonyo za ng'ombe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila maziwa ya ng'ombe mgando na fresh matamu nyiee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ