Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Siri ya mtindi kuwa mzito, kwanza anza wewe kuyachunguza kwa kuyaacha yalale siku tatu, utakuta yamegawanyika maratatu chini kitu kama maziwa hiki hufanya yawe mazito, kinafuatia maji na juu kabisa maziwa ya mtindi, yanakuwa juu kwa sababu ni mepesi.Mtindi wao huwa ni mzito kweli kweli,nambari wani.
Hiki sasa ndicho hufanyika kuyaboresha, unga wa ngano hukorogwa kwenye maji kisha huchemshwa na kuacha uji huo mwepesi upowe, ukishapoa huchanganywa na mtindi na kukorogwa muda wote, mnunuzi anaponunua huuona mtindi mzito.
Kwanini hukorogwa muda wote, jibu lipo juu.