Kumekuwepo na promotion inayoitwa UNICEF FOUNDATION hawa siyo wezi mtandao kweli?

Kabla sijajiingiza kichwa kichwa naomba kupata mrejesho ambao mlitangulia kwenye huu mgao hii kitu ni ya kweli?
View attachment 2968941
Sizani kama kuna watu wanauelewa na hii kitu nimeona wengi wakipost na kujimwambafai kwamba wamesaidiwa na hili shirika.

Mimi utafiti wangu wa mchongo ikabidi nifanye kujiridhisha wanataka nini kabla ya kusema umepata promotion kutoka UNICEF FOUNDATION na kujiridhisha kwamba hawa UNICEF FOUNDATION kweli wanafanya hili kwa usahihi! Majibu niliyoyapata ni haya
View attachment 2968937
View attachment 2968938
View attachment 2968939
Walipofikia hapo nikasepa sikutaka ujinga na wizi wa wazi wazi sasa najiuliza hawa watakuwa wamecheza sana hii michezo na wamepata pesa nyingi sana kwa wizi huu.

Na Watanzania wengi wanapenda vitonga sizani kama wanafikiria kuibiwa
Hapo umemchoresha tu mwenye account FB , huwa sio mhusika wa account halisi ndio anapost wana hack account nyingi sana ndio wanafanya hayo
 
Hiyo account ya jamaa imekuwa hacked ,acha kumchoreha hausiki ...Ina maana jamaa wanaiba account za watu halafu wanatapeli.

Facebook ni dhaifu sana kweny usalama kutwa accounts zinaibiwa.
Aina udhaifu wowote ni very SUCURED kama SOCIAL MEDIA zingine7bu wanawekeza mabilioni ya pesa kwa ajiri ya hilo

ni tamaa za tu watumiaji wenye uelewa hafifu
Ukiona ACCOUNT ya Facebook ya kapuku (imehackiwa) kama unavyodai basi ACTUALLY haijaakiwa isipokuwa ni
TAMAA ya kutaka kuangalia picha za ngono
TAMAA za kumiliki demu wa kizungu au mwanaume wa kizungu
TAMAA za kutaka kutumiwa pesa za urithi BABU yake kafa kaachiwa pesa nyingi
TAMAA YA PESA ZA PROMOSHENI
TAMAA ya kutaka kutumiwa ZAWADI IPHONES MACBOOK PS4/5 PClaptop nk
Na TAMAA zingine

Hvyo ukiingia katika huo mtego unawapa INFORMATION zako mwenyewe kwa msimbo wa simu au
Unabonyeza link kuangalia VIDEO YA NGONO na Wanakukupeleka katika PAGE fake ya facebook wanakuambia ingiza jina email au namba yasimu na password ya FACEBOOK yako ili uplay video na wewe 7bu una tamaa unaingiza info zako ukiingiza tu info zako wanazipata taarifa zako then faster wanabadirisha password na namba ya simu automatic accout unakuwa haumiliki tena

Sasa ukisoma maelezo yangu utagundua ni tamaa tu sio UDAHIFU wa ulinzi wa FACEBOOK

Ndio maana facebook wakaja na TWO
-FACTOR -AUTHENICATION itakayohitaji SECURITY KEY au CODE kila utakapohitaji kulogin kwenye DEVICE mpya au baada ya muda fulani ili kukusaidia kukabiliana na walaghai wa mitandaoni kama hao

Labda uniambie kuwa FACEBOOK ina watumiaji wengi zaidi ambao wanauelewa mdogo sana na mambo ya SIMU ZA RUNUNU na vitu vya mtandaoni
hawaelewi nini wanafanya
nini wanabonyeza
wafuata mkumbo
Wabishi wajuaji
hawajui kiingereza cha mtandaoni hii inawafanya wakitaka kitu wabofyebofye tu bila kuelewa nini madhara ya wanachobofya

Ninatumia FACEBOOK tangu 2009 sijawahi kusahau PASSWORD wala kujaribu kuibiwa ACCOUNT kwa ule mtindo wa kufuatwa INBOX 7bu wakianza tu mm nawapa BLOCK then nawareport
 
Kwenye maisha unapaswa kuwa mbishi na tomaso.Laa sivyo,watu wakizielewa akili zako na jinsi ya kucheza na wewe utalia hadi uombe kusamehewa dhambi zako.Beware of conmen!
 
Uko sahihi kuna kipindi na mimi walinifanyizia wakashindwa TWO FACTOR AUTHENTICATION iliniokoa sana
 
Uko sahihi kuna kipindi na mimi walinifanyizia wakashindwa TWO FACTOR AUTHENTICATION
Kwenye maisha unapaswa kuwa mbishi na tomaso.Laa sivyo,watu wakizielewa akili zako na jinsi ya kucheza na wewe utalia hadi uombe kusamehewa dhambi zako.Beware of conmen!
Sahihi mkuu
 
Sahihi
Wanafunzi wa chuo wameibiwa Sana na watz tunabidi tubadilike.
Tena wale ni wabishi alafu wajuaji sana huwezi mwambia kitu kwenye mambo ya network
 
mbona unaanza kuvua nguo mwenyewe?
Kiaje? Au kuleta mada ndio kujivua nguo? Maana content ili ikamilike lazima iwe imelingana na kile unachokisemea sasa ningeweka hapa taarifa ambayo haina uhalisia au uthibitisho mimi ndio ningeonekana sina maana na content yangu au wewe ulitaka nifanyeje au niibiwe kwanza ndio nije huku?
 
ukishaibiwa ndio utakuwa uchi
 
Watu wengi hawawezi kuprotect account zao yaani wanadukuliwa daily,mi kunidukua sio leo
 
Hio sms tu, unapokea hela kwa tshs, Salio linasoma kwa kshs.... 😃😃
 
Acha aisee wataibiwa sana tena mno
1713682775578.png
 
Back
Top Bottom