Hiyo account ya jamaa imekuwa hacked ,acha kumchoreha hausiki ...Ina maana jamaa wanaiba account za watu halafu wanatapeli.
Facebook ni dhaifu sana kweny usalama kutwa accounts zinaibiwa.
Aina udhaifu wowote ni very SUCURED kama SOCIAL MEDIA zingine7bu wanawekeza mabilioni ya pesa kwa ajiri ya hilo
ni tamaa za tu watumiaji wenye uelewa hafifu
Ukiona ACCOUNT ya Facebook ya kapuku (imehackiwa) kama unavyodai basi ACTUALLY haijaakiwa isipokuwa ni
TAMAA ya kutaka kuangalia picha za ngono
TAMAA za kumiliki demu wa kizungu au mwanaume wa kizungu
TAMAA za kutaka kutumiwa pesa za urithi BABU yake kafa kaachiwa pesa nyingi
TAMAA YA PESA ZA PROMOSHENI
TAMAA ya kutaka kutumiwa ZAWADI IPHONES MACBOOK PS4/5 PClaptop nk
Na TAMAA zingine
Hvyo ukiingia katika huo mtego unawapa INFORMATION zako mwenyewe kwa msimbo wa simu au
Unabonyeza link kuangalia VIDEO YA NGONO na Wanakukupeleka katika PAGE fake ya facebook wanakuambia ingiza jina email au namba yasimu na password ya FACEBOOK yako ili uplay video na wewe 7bu una tamaa unaingiza info zako ukiingiza tu info zako wanazipata taarifa zako then faster wanabadirisha password na namba ya simu automatic accout unakuwa haumiliki tena
Sasa ukisoma maelezo yangu utagundua ni tamaa tu sio UDAHIFU wa ulinzi wa FACEBOOK
Ndio maana facebook wakaja na TWO
-FACTOR -AUTHENICATION itakayohitaji SECURITY KEY au CODE kila utakapohitaji kulogin kwenye DEVICE mpya au baada ya muda fulani ili kukusaidia kukabiliana na walaghai wa mitandaoni kama hao
Labda uniambie kuwa FACEBOOK ina watumiaji wengi zaidi ambao wanauelewa mdogo sana na mambo ya SIMU ZA RUNUNU na vitu vya mtandaoni
hawaelewi nini wanafanya
nini wanabonyeza
wafuata mkumbo
Wabishi wajuaji
hawajui kiingereza cha mtandaoni hii inawafanya wakitaka kitu wabofyebofye tu bila kuelewa nini madhara ya wanachobofya
Ninatumia FACEBOOK tangu 2009 sijawahi kusahau PASSWORD wala kujaribu kuibiwa ACCOUNT kwa ule mtindo wa kufuatwa INBOX 7bu wakianza tu mm nawapa BLOCK then nawareport