Kumfanyisha Interview Medical Doctor aliyethibitishwa na Baraza la Madaktari (MCT) ni dharau kubwa sana

Katika udaktari muda uliosoma ni moja ya qualification, Marekani madaktari wanasoma miaka nane ya chuo ndio maana madaktari wa Africa wakifika huko inabidi warudi tena shule pamoja na kufanyishwa mitihani mingi ili waweze kuajirika.
Si Marekani tu ,nchi nyingi za ughaibuni mifumo yetu ya elimu na kwao kuna tofauti so mamlaka ya hizo nchi lazima wajiridhishe kwa wewe kupata special trainings ili upate contents za kielimu ambazo wanaamini utakuwa katika standards zao wanazozitaka ,na si udaktari tu .ni fani nyingi .
 
Msomi unaogopa interview? Ndio ukaioneshe hiyo science kwenye panel
Internship na mtihani wa MCT kupata leseni vinatosha kabisa kwa daktari kuinyosha science yake, mengine ni uharibifu wa rasilimali muda na fedha tu kutokana na ufinyu wa idadi za ajira.
 
Mkuu tulia ukandwe sasa kama mmeomba wengi tutawapataje sahihi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweli kabisa.
 
Hakuna kuajiriwa bila kukandwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Internship na mtihani wa MCT kupata leseni vinatosha kabisa kwa daktari kuinyosha science yake, mengine ni uharibifu wa rasilimali muda na fedha tu kutokana na ufinyu wa idadi za ajira.
Nenda sasa kaonyeshe ulivyoiva na internship na MCT. Nenda usiogope, ajabu hizo rasilimali hazipotei kwa wahasibu(CPA), ununuzi (CPSP), Engineer, laywers ila tu kwa doctor. Doctor ficha upumbavu tafadhali
 
Wahasibu na wanasheria mnasoma miaka mitatu ndio maana ni muhimu kukaguliwa kaguliwa sana tofauti na madaktari. Madaktari wanapewa leseni ku deal na maisha ya watu, nyie mnapata vyeti kucheza na makaratasi.
 
Hawa si ndo walikua wanaitwa cream ya Taifa, sijui Tanzania one, sijui special school 🀣

Sasa wakija huku wakiona tunafanana tu, wanataka kuanza kupanic. Nasemajeee, Twendeni tukapige interview 🀣.

Hakuna kitu nakipenda kama interview, Ukitoka tu mlangoni. Unasema hapa labda bwana Mungu atende 🀣
 
Hajui huku private, unaweza pigwa hata round tatu za interview tena zote ni intensive.
 
Wahasibu na wanasheria mnasoma miaka mitatu ndio maana ni muhimu kukaguliwa kaguliwa sana tofauti na madaktari. Madaktari wanapewa leseni ku deal na maisha ya watu, nyie mnapata vyeti kucheza na makaratasi.
Kwamba BCom na CPA ni miaka mitatu? Tuseme ni sahihi, basi uende kwenye panel kuonyesha hukupewa leseni bahati mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…