Kumfanyisha Interview Medical Doctor aliyethibitishwa na Baraza la Madaktari (MCT) ni dharau kubwa sana

Kumfanyisha Interview Medical Doctor aliyethibitishwa na Baraza la Madaktari (MCT) ni dharau kubwa sana

Katika udaktari muda uliosoma ni moja ya qualification, Marekani madaktari wanasoma miaka nane ya chuo ndio maana madaktari wa Africa wakifika huko inabidi warudi tena shule pamoja na kufanyishwa mitihani mingi ili waweze kuajirika.
Si Marekani tu ,nchi nyingi za ughaibuni mifumo yetu ya elimu na kwao kuna tofauti so mamlaka ya hizo nchi lazima wajiridhishe kwa wewe kupata special trainings ili upate contents za kielimu ambazo wanaamini utakuwa katika standards zao wanazozitaka ,na si udaktari tu .ni fani nyingi .
 
Msomi unaogopa interview? Ndio ukaioneshe hiyo science kwenye panel
Internship na mtihani wa MCT kupata leseni vinatosha kabisa kwa daktari kuinyosha science yake, mengine ni uharibifu wa rasilimali muda na fedha tu kutokana na ufinyu wa idadi za ajira.
 
Sasa serikali mna somesha madaktari kwa pesa nyingi, kumbuka hii kada Ina wapungufu wa waataalumu wa afya kila idara.

Doctor amethibitishwa na MCT. Lakini Tena kufanyiwa interview kwenye hospital ya wilaya TU, jamani.

Mimi na shauri interview wafanyiwe kwenye hospital kubwa ( mzena). kwa ajili ya kuwaandaa ma doctors bingwa TU.

Hivi tunavyo jadili tayari kimeshaumana huko kwenye interview.
Ma doctors tz ni wachache , wanatakiwa wote waajiriwe ili kuboresha huduma za afya kwa wananchi wetu.
Mkuu tulia ukandwe sasa kama mmeomba wengi tutawapataje sahihi?😂😂😂😂😂
 
Punguza malalamiko, tuna accredited ICT guys ambao ni approved and certified by international organization, tuna wahasibu pamoja certification zao including CPA but bado wanafanya interview

Concept ya interview ni kupata right candidate for that position. Ni hiyo position inahitaji more than certificates, inahitaji vitu vingi. One way to know kama candidate anavyo ni through interview
Kweli kabisa.
 
Mkuu hadi hapa sina swali kwako nimeridhika na hoja zako

Interview haina maana kama wanahitaji kuchuja idadi kwa kuangalia marks nawatumie kigezo cha GPA wenye gpa kubwa waanze kuajiriwa wenye ndogo waachwe kwani assessment wanayoifanya ni sawa na ile iliyofanywa na NECTA na TCU
Hakuna kuajiriwa bila kukandwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Daktari wa binadamu hahitaji interview ya kazi, leseni yake ya udaktari inatosha.
Uchache wa kazi ndio unasababisha interviews kuwepo, pia Daktari aliyefaulu kwa kiwango cha juu darasani kwa A nyingi ndiye Daktari bora hata kama atafeli usahili wa kupiga/kuuza maneno.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Internship na mtihani wa MCT kupata leseni vinatosha kabisa kwa daktari kuinyosha science yake, mengine ni uharibifu wa rasilimali muda na fedha tu kutokana na ufinyu wa idadi za ajira.
Nenda sasa kaonyeshe ulivyoiva na internship na MCT. Nenda usiogope, ajabu hizo rasilimali hazipotei kwa wahasibu(CPA), ununuzi (CPSP), Engineer, laywers ila tu kwa doctor. Doctor ficha upumbavu tafadhali
 
Nenda sasa kaonyeshe ulivyoiva na internship na MCT. Nenda usiogope, ajabu hizo rasilimali hazipotei kwa wahasibu(CPA), ununuzi (CPSP), Engineer, laywers ila tu kwa doctor. Doctor ficha upumbavu tafadhali
Wahasibu na wanasheria mnasoma miaka mitatu ndio maana ni muhimu kukaguliwa kaguliwa sana tofauti na madaktari. Madaktari wanapewa leseni ku deal na maisha ya watu, nyie mnapata vyeti kucheza na makaratasi.
 
Mtasema tu ,na bado hamjasema 😄😄😄😄.
Hizo one za saba unadhani ni madaktari tu ndio mlipata ?
Kuna Engineers na wahasibu wana one kali kuliko hizo wana leseni za kazi na ni jobless mpaka sasa na kila interviews wanahudhuria .
Ninyi mnajiona keki sana nchi hii
Ngoja muionje joto ya jiwe ili akili ziwwakae vizuri na kuelewa hili neno "Mass unemployment " ili mkisikia mtu anasema "Tanzania kuna mass unemployment " msimwone mpuuz
Afya na ualimu mnajiona special sana kwa nini ?
Why wengine wafanye usahili ninyi msifanye usahili ?
Au ninyi tu ndio mmefaulu olevel na Advanced level ?
Ni ninyi Tu ndio mmesoma chuo na kutoka na GPA kali ?
Ni nyinyi tu mlisajiliwa na bodi za taaluma na kuwa na leseni ?
Kwamba watu wa fani nyingine hawana hizi issues ?

Au ninyi mna kitu gani cha special sana kwamba muajiriwe kwa kuingizwa tu bila usahili ?
Hawa si ndo walikua wanaitwa cream ya Taifa, sijui Tanzania one, sijui special school 🤣

Sasa wakija huku wakiona tunafanana tu, wanataka kuanza kupanic. Nasemajeee, Twendeni tukapige interview 🤣.

Hakuna kitu nakipenda kama interview, Ukitoka tu mlangoni. Unasema hapa labda bwana Mungu atende 🤣
 
Kada sensitive kama Udaktari lazima INTERVIEW nilikuwa nashangaa sana unaajiri vipi bila kuwapima unaowaajiri.?

Procedures za HR lazima ufanye interview ili upate kile unachotaraji.

Pia, background checks and vetting ni muhimu sana.. kuna taasisi nafanyia kazi kuna kitengo/watu maalumu wa Vetting na Vetting ni swala endelevu.. ukiwa upo kazini vetting inaendelea.

Tusiweke ubinafsi ktk hili swala. interview ifanywe tena ile INTENSIVE hasa.
Hajui huku private, unaweza pigwa hata round tatu za interview tena zote ni intensive.
 
Wahasibu na wanasheria mnasoma miaka mitatu ndio maana ni muhimu kukaguliwa kaguliwa sana tofauti na madaktari. Madaktari wanapewa leseni ku deal na maisha ya watu, nyie mnapata vyeti kucheza na makaratasi.
Kwamba BCom na CPA ni miaka mitatu? Tuseme ni sahihi, basi uende kwenye panel kuonyesha hukupewa leseni bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom