Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Nyie ndio mkisoma kidogo ndio mnawaletea kiburi cha kijinga na vidivion one vyenu , interview ni muhimu kuzuia watu wenye attitude kama wewe , cheti peke yake sio sababu ya kupata kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msomi unaogopa interview? Ndio ukaioneshe hiyo science kwenye panelUhasibu ni kazi inayohusisha siasa, fitna ujanjaujanja na majungu tofauti na kazi nyingi za science kama Daktari.
Labda serikalini, wenye makampuni binafsi tunatafuta wanaojua kazi na wenye heshima, cheti kinakupa interview tuu sio kazisio kwel kibongo bongo concept ya interview n sababu wahitim wamekuwa wengi.
Si Marekani tu ,nchi nyingi za ughaibuni mifumo yetu ya elimu na kwao kuna tofauti so mamlaka ya hizo nchi lazima wajiridhishe kwa wewe kupata special trainings ili upate contents za kielimu ambazo wanaamini utakuwa katika standards zao wanazozitaka ,na si udaktari tu .ni fani nyingi .Katika udaktari muda uliosoma ni moja ya qualification, Marekani madaktari wanasoma miaka nane ya chuo ndio maana madaktari wa Africa wakifika huko inabidi warudi tena shule pamoja na kufanyishwa mitihani mingi ili waweze kuajirika.
Bila kujali ni nini lakini usaili ni swala la muhimu sana…Unaemraumu hayupo , haya yote yamesababishwa Na rais wa wanyonge😀😀
Internship na mtihani wa MCT kupata leseni vinatosha kabisa kwa daktari kuinyosha science yake, mengine ni uharibifu wa rasilimali muda na fedha tu kutokana na ufinyu wa idadi za ajira.Msomi unaogopa interview? Ndio ukaioneshe hiyo science kwenye panel
Mkuu tulia ukandwe sasa kama mmeomba wengi tutawapataje sahihi?😂😂😂😂😂Sasa serikali mna somesha madaktari kwa pesa nyingi, kumbuka hii kada Ina wapungufu wa waataalumu wa afya kila idara.
Doctor amethibitishwa na MCT. Lakini Tena kufanyiwa interview kwenye hospital ya wilaya TU, jamani.
Mimi na shauri interview wafanyiwe kwenye hospital kubwa ( mzena). kwa ajili ya kuwaandaa ma doctors bingwa TU.
Hivi tunavyo jadili tayari kimeshaumana huko kwenye interview.
Ma doctors tz ni wachache , wanatakiwa wote waajiriwe ili kuboresha huduma za afya kwa wananchi wetu.
Kweli kabisa.Punguza malalamiko, tuna accredited ICT guys ambao ni approved and certified by international organization, tuna wahasibu pamoja certification zao including CPA but bado wanafanya interview
Concept ya interview ni kupata right candidate for that position. Ni hiyo position inahitaji more than certificates, inahitaji vitu vingi. One way to know kama candidate anavyo ni through interview
Hakuna kuajiriwa bila kukandwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mkuu hadi hapa sina swali kwako nimeridhika na hoja zako
Interview haina maana kama wanahitaji kuchuja idadi kwa kuangalia marks nawatumie kigezo cha GPA wenye gpa kubwa waanze kuajiriwa wenye ndogo waachwe kwani assessment wanayoifanya ni sawa na ile iliyofanywa na NECTA na TCU
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Daktari wa binadamu hahitaji interview ya kazi, leseni yake ya udaktari inatosha.
Uchache wa kazi ndio unasababisha interviews kuwepo, pia Daktari aliyefaulu kwa kiwango cha juu darasani kwa A nyingi ndiye Daktari bora hata kama atafeli usahili wa kupiga/kuuza maneno.
Nenda sasa kaonyeshe ulivyoiva na internship na MCT. Nenda usiogope, ajabu hizo rasilimali hazipotei kwa wahasibu(CPA), ununuzi (CPSP), Engineer, laywers ila tu kwa doctor. Doctor ficha upumbavu tafadhaliInternship na mtihani wa MCT kupata leseni vinatosha kabisa kwa daktari kuinyosha science yake, mengine ni uharibifu wa rasilimali muda na fedha tu kutokana na ufinyu wa idadi za ajira.
Ndo hapo sasa. Stupid excusesKama huko kote ulipita, interview inakushindaje?
Wahasibu na wanasheria mnasoma miaka mitatu ndio maana ni muhimu kukaguliwa kaguliwa sana tofauti na madaktari. Madaktari wanapewa leseni ku deal na maisha ya watu, nyie mnapata vyeti kucheza na makaratasi.Nenda sasa kaonyeshe ulivyoiva na internship na MCT. Nenda usiogope, ajabu hizo rasilimali hazipotei kwa wahasibu(CPA), ununuzi (CPSP), Engineer, laywers ila tu kwa doctor. Doctor ficha upumbavu tafadhali
Hawa si ndo walikua wanaitwa cream ya Taifa, sijui Tanzania one, sijui special school 🤣Mtasema tu ,na bado hamjasema 😄😄😄😄.
Hizo one za saba unadhani ni madaktari tu ndio mlipata ?
Kuna Engineers na wahasibu wana one kali kuliko hizo wana leseni za kazi na ni jobless mpaka sasa na kila interviews wanahudhuria .
Ninyi mnajiona keki sana nchi hii
Ngoja muionje joto ya jiwe ili akili ziwwakae vizuri na kuelewa hili neno "Mass unemployment " ili mkisikia mtu anasema "Tanzania kuna mass unemployment " msimwone mpuuz
Afya na ualimu mnajiona special sana kwa nini ?
Why wengine wafanye usahili ninyi msifanye usahili ?
Au ninyi tu ndio mmefaulu olevel na Advanced level ?
Ni ninyi Tu ndio mmesoma chuo na kutoka na GPA kali ?
Ni nyinyi tu mlisajiliwa na bodi za taaluma na kuwa na leseni ?
Kwamba watu wa fani nyingine hawana hizi issues ?
Au ninyi mna kitu gani cha special sana kwamba muajiriwe kwa kuingizwa tu bila usahili ?
Hajui huku private, unaweza pigwa hata round tatu za interview tena zote ni intensive.Kada sensitive kama Udaktari lazima INTERVIEW nilikuwa nashangaa sana unaajiri vipi bila kuwapima unaowaajiri.?
Procedures za HR lazima ufanye interview ili upate kile unachotaraji.
Pia, background checks and vetting ni muhimu sana.. kuna taasisi nafanyia kazi kuna kitengo/watu maalumu wa Vetting na Vetting ni swala endelevu.. ukiwa upo kazini vetting inaendelea.
Tusiweke ubinafsi ktk hili swala. interview ifanywe tena ile INTENSIVE hasa.
Kwamba BCom na CPA ni miaka mitatu? Tuseme ni sahihi, basi uende kwenye panel kuonyesha hukupewa leseni bahati mbaya.Wahasibu na wanasheria mnasoma miaka mitatu ndio maana ni muhimu kukaguliwa kaguliwa sana tofauti na madaktari. Madaktari wanapewa leseni ku deal na maisha ya watu, nyie mnapata vyeti kucheza na makaratasi.