Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 509
- 848
Izo operation Ata waganga wa jadi wanafanya bana sio jambo kubwa iloAfricans value more politicians than professional,hivi huna aibu kusema kuwa madaktari ni WA kawaida kweli watu wanaoweza fanya operation mkeo akazaa salama na mtt akawa hai,
Wewe subiria ipo siku utajua value yao na hela zako hizo kiburi kitaisha
Kuna soft skills nyingi ambazo madaktari wana gap. For example, communication skills, team work, solving ethical dilemma, etc. Ukiwa na knowledge peke yake, with poor attitude and skills, you are an incomplete clinician!Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
====================
UPDATES
Kwa taarifa nilizozipokea ni kwamba vijana wameitwq huko Galanos sekondali wakafanyiwe interview ya makaratasi
Hii nchi inashangaza sana
Unajitoa ufahamuIzo operation Ata waganga wa jadi wanafanya bana sio jambo kubwa ilo
Una bahati, Mshua wako alipenda watoto ndio maana ukazaliwa.Wengine hatu pendi watoto
Ila wa hapa bongo wanalipwa kidogo sana.U
Umeongea kwanza kwa kutoelewa yaani umesoma kujibu Ila sio kuelewa,mtu akavuka kote huko unamuita kilaza, mie sio daktari Ila najua mziki wake,elewa kwanza ni tz tu md haheshimiwi huko Kenya anakula 18M tzs monthly,huko Kanada wanakula zaidi ya 50M tzs.
Huwezi linganisha daktari na ujinga mwingine,
Hayo ni maamuzi yake, Mimi mwenyewe ni mtoto kwetu no matter whatUna bahati, Mshua wako alipenda watoto ndio maana ukazaliwa.
Asingependa, usingezaliwa[emoji2][emoji2]
So fani yenu tu ndiyo inayopitia msoto ama...?Hakuna haya ya mitihani ya Baraza ili apate leseni kwa asuburie tu mitihani ya utumishi ili akifaulu aingie kwenye Ajira.. maana wameona utumishi ndio mitihani pekee inayomtambua mhitimu katika taaluma😁
Sababu akifail usaili inamaanisha leseni zake na mitihani aliyowai faulu ni batili sasa..
Siasa na taaluma .. na wenye dhamana wapo tu kushangaashangaa tu taaluma za Afya ziwe na waziri wao anaejua uchungu na msoto wa kada yake
Fani gani wanalipwa pesa nyingi...?Ila wa hapa bongo wanalipwa kidogo sana.
Maamuzi ya Mshua yalikuwa sahihi au sio sahihi?Hayo ni maamuzi yake, Mimi mwenyewe ni mtoto kwetu no matter what
Kuua kwa aliye kudhulumu ni sahihi au sio sahihi??Maamuzi ya Mshua yalikuwa sahihi au sio sahihi?
Interview imekuendea mlamaa leoJust imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
====================
UPDATES
Kwa taarifa nilizozipokea ni kwamba vijana wameitwq huko Galanos sekondali wakafanyiwe interview ya makaratasi
Hii nchi inashangaza sana
Hivyo vyote sijui tabia, client care, humanity na vingine deep sana mpaka psychology ashavisoma na kafanya mitihani huko chuoni ya oral na written tena migumu ilioshiba, it doesn't make sense kwenda kumpima tena upyaKwaio daktari inatakiwa awe amefaulu tu ila ata kama ana tabia mbovu fresh au hana customer care, ubinadamu nk. Yeye apewe tu kazi au sio
Mwisho wa siku watu hawatasoma hiyo course na kufanya kitu kingineHakuna haya ya mitihani ya Baraza ili apate leseni kwa asuburie tu mitihani ya utumishi ili akifaulu aingie kwenye Ajira.. maana wameona utumishi ndio mitihani pekee inayomtambua mhitimu katika taaluma😁
Sababu akifail usaili inamaanisha leseni zake na mitihani aliyowai faulu ni batili sasa..
Siasa na taaluma .. na wenye dhamana wapo tu kushangaashangaa tu taaluma za Afya ziwe na waziri wao anaejua uchungu na msoto wa kada yake
Kapimwe akiliHivyo vyote sijui tabia, client care, humanity na vingine deep sana mpaka psychology ashavisoma na kafanya mitihani huko chuoni ya oral na written tena migumu ilioshiba, it doesn't make sense kwenda kumpima tena upya
Nilipofika hapo kwenye "prectical" nimeelewa kwann unachukia interviewJust imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
====================
UPDATES
Kwa taarifa nilizozipokea ni kwamba vijana wameitwq huko Galanos sekondali wakafanyiwe interview ya makaratasi
Hii nchi inashangaza sana
Weka hoja yakoKapimwe akili
Halafu Evelyn kwanini hukujibu swali ninilokuulizaKuna kada tulikua tumezoea kitonga hadi raha, siku nikiambiwa nifanyiwe intavyuu nitaliaaa nitaliaaa nitagalagala chini mimi....