Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 509
- 848
Izo operation Ata waganga wa jadi wanafanya bana sio jambo kubwa iloAfricans value more politicians than professional,hivi huna aibu kusema kuwa madaktari ni WA kawaida kweli watu wanaoweza fanya operation mkeo akazaa salama na mtt akawa hai,
Wewe subiria ipo siku utajua value yao na hela zako hizo kiburi kitaisha