Kumfanyisha Interview Medical Doctor aliyethibitishwa na Baraza la Madaktari (MCT) ni dharau kubwa sana

Africans value more politicians than professional,hivi huna aibu kusema kuwa madaktari ni WA kawaida kweli watu wanaoweza fanya operation mkeo akazaa salama na mtt akawa hai,
Wewe subiria ipo siku utajua value yao na hela zako hizo kiburi kitaisha
Izo operation Ata waganga wa jadi wanafanya bana sio jambo kubwa ilo
 
Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.

Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.

Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.

Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.

Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.

Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.

Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?

Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?

Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?

Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?

Wadau

====================

UPDATES

Kwa taarifa nilizozipokea ni kwamba vijana wameitwq huko Galanos sekondali wakafanyiwe interview ya makaratasi

Hii nchi inashangaza sana
Kuna soft skills nyingi ambazo madaktari wana gap. For example, communication skills, team work, solving ethical dilemma, etc. Ukiwa na knowledge peke yake, with poor attitude and skills, you are an incomplete clinician!
 
U

Umeongea kwanza kwa kutoelewa yaani umesoma kujibu Ila sio kuelewa,mtu akavuka kote huko unamuita kilaza, mie sio daktari Ila najua mziki wake,elewa kwanza ni tz tu md haheshimiwi huko Kenya anakula 18M tzs monthly,huko Kanada wanakula zaidi ya 50M tzs.
Huwezi linganisha daktari na ujinga mwingine,
Ila wa hapa bongo wanalipwa kidogo sana.
 
Hakuna haya ya mitihani ya Baraza ili apate leseni kwa asuburie tu mitihani ya utumishi ili akifaulu aingie kwenye Ajira.. maana wameona utumishi ndio mitihani pekee inayomtambua mhitimu katika taaluma😁

Sababu akifail usaili inamaanisha leseni zake na mitihani aliyowai faulu ni batili sasa..

Siasa na taaluma .. na wenye dhamana wapo tu kushangaashangaa tu taaluma za Afya ziwe na waziri wao anaejua uchungu na msoto wa kada yake
So fani yenu tu ndiyo inayopitia msoto ama...?
 
Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.

Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.

Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.

Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.

Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.

Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.

Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?

Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?

Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?

Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?

Wadau

====================

UPDATES

Kwa taarifa nilizozipokea ni kwamba vijana wameitwq huko Galanos sekondali wakafanyiwe interview ya makaratasi

Hii nchi inashangaza sana
Interview imekuendea mlamaa leo
 
Kwaio daktari inatakiwa awe amefaulu tu ila ata kama ana tabia mbovu fresh au hana customer care, ubinadamu nk. Yeye apewe tu kazi au sio
Hivyo vyote sijui tabia, client care, humanity na vingine deep sana mpaka psychology ashavisoma na kafanya mitihani huko chuoni ya oral na written tena migumu ilioshiba, it doesn't make sense kwenda kumpima tena upya
 
Hakuna haya ya mitihani ya Baraza ili apate leseni kwa asuburie tu mitihani ya utumishi ili akifaulu aingie kwenye Ajira.. maana wameona utumishi ndio mitihani pekee inayomtambua mhitimu katika taaluma😁

Sababu akifail usaili inamaanisha leseni zake na mitihani aliyowai faulu ni batili sasa..

Siasa na taaluma .. na wenye dhamana wapo tu kushangaashangaa tu taaluma za Afya ziwe na waziri wao anaejua uchungu na msoto wa kada yake
Mwisho wa siku watu hawatasoma hiyo course na kufanya kitu kingine
 
Hivyo vyote sijui tabia, client care, humanity na vingine deep sana mpaka psychology ashavisoma na kafanya mitihani huko chuoni ya oral na written tena migumu ilioshiba, it doesn't make sense kwenda kumpima tena upya
Kapimwe akili
 
Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.

Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.

Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.

Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.

Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.

Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.

Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?

Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?

Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?

Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?

Wadau

====================

UPDATES

Kwa taarifa nilizozipokea ni kwamba vijana wameitwq huko Galanos sekondali wakafanyiwe interview ya makaratasi

Hii nchi inashangaza sana
Nilipofika hapo kwenye "prectical" nimeelewa kwann unachukia interview
 
Interview ni muhimu kupata watu wazuri. Tunatofautiana kwenye kila laaluma.

Kwani taluuma gani hawasomi sana?Au unadhani umuhimu wako unatokana na miaka mingi kukaa Muhimbili?

Kila taaluma ina umuhimu wake, na kuwa daktari ni uamuzi wako, ungesoma Bcom au BAF pia ni maamuzi yako binafsi, hivyo usijione unamaana kuliko yeyote.

Kama wewe hutaki au huoni umuhimu wa interview, basi ikiondolewa kwa daktari iondolewe na kwa mfagizi wa ofisi.
Ni utaratibu ufuatwe na kila mtu.
 
Wanafanyiwa interview mabingwa huko Ulaya na Marekani udaktari ulipoanzia na wana maboard yanayofanya kazi sawasawa nyie vijana wa kisasa mnataka free lunch bonglendi! Kweli ujamaa ni uchafu umetuharibia sana kizazi hadi uje ufutike vichwani labda kizazi cha tano kule
 
Back
Top Bottom