Kumfanyisha Interview Medical Doctor aliyethibitishwa na Baraza la Madaktari (MCT) ni dharau kubwa sana

Hebu tukuelimishe kidogo,yawezekana kichwa chako hakijafunguka.kufanya enterview sio mtihani.bali ni hatua ya kupunguza idadi ya watu ili kulingana na nafasi zilizopo.mfano nafasi ziko 40 walio omba ni 200. N a hapo tambua kuwa swali linaweza kuwepo hata ambalo hujalisomea ila linapima uelewa wako ukoje. jitahid kuwa mwelewa sio kila kitu tutakuwa tunakuelewesha
 
Baada ya hapo mgonjwa akija yeye anaanza ku google tatizo la mgonjwa 🀣
 
Hapana mkuu. Ninapingana na wewe.

Mkuu, kwa hiyo unataka kuniambia mwenye division 3 ya chuoni akifaulu interview kumzidi Mwenye division 1, ndio kusema, huyo mwenye 3 ana uwezo mkubwa sana kuliko mwenye 1??

NB: Assume kwamba chuo hakuna GPAs bali grading inafanyika in terms of divisions..
 
Hii fani unakula pesa yake huku ukiwa umechoka sanaπŸ˜…
Na sio pesa halali, pesa yake lazima iwe na makandokando ya rushwa na deals
Daktari kiserikali analipwa pesa ndogo sana
 
Lazima ujue kutofautisha performance ya darasani is not equal to performance kazini

Kazini ni different world , hakuna gpa kule au division one, kule kuna efficiency

Alipata division 3 anaweza kua kasoma kozi moja na alipata div 1. Lakini wa div 3 akawa efficiency kwenye kazi kuliko div 1

Tumeona makazini, when nilipokuwa darasani. Kuna degree holders walikuwa wanawaburuza masters kwenye utendaji. Diploma holders so efficient kiasi kwamba degree holders wanawekwa pembeni

kwenye uga wa kazini ni different enviroment
 
Never ever. Kamwe Sikio haliwezi kulizidi kichwa mkuu..
Pole sanaaaaa, naongea hili from experience. Back in the days wakati nipo serikali hii ilikuwa common sana. Make no mistake nimekuwa serikalini lwa muda mrefu mpaka kufikia mahali pa kusimamia interview na kuchuja

I know ninachokiongea, i was there. Mazingira ya darasani si ya kazini. Hizo ni dunia mbili tofauti
 
Ni kweli kabisa interview ni jambo la kawaida wajameni,hiyo ni kwa kila fani,tena tambueni kwasasa hayaangaliwi makaratasi tu, lazima interview ifanyike pia tena ya kina haswa,kwani hamjaona mtu ni msomi mzuri lakini in the field anashindwa ku perform??
 
Kwani kiswahili hujui kukiandika?
 
Kama hutaki join CCM utafahamu wenzio la 7 CCM wanakula Raha
 
Mkuu Una undugu na TUPAC SHAKUR?
 
Acheni kujiona special.... unajiona msomi hata kureason umuhimu wa interview unashindwa?
Hizo profession zingine wanapitia michujo wao ni ng'ombe????

Na siku nchi hii wahudumu wa afya wakianza kuwa held accountable for unnecessary medical errors wanafanya ndo mtajua kuna so many incompetent staffs hospitalini... useless sets of people
 
Unajua maswali wanayoulizwa?
Anaweza kuwa daktari bora ndio,alifaulu ndio lakini ana attitude ipi?
Kuna mtu anaomba kazi ila anasema anataka kujishikiza,sasa nani anataka mtu wa jinsi hiyo?Ukiomba kazi onyesha nia ya kweli ya kutaka kufanya na taasisi au kampuni unapoomba kazi siyo kujishikiza.
 
Mkuu dawa ya dharau ni kukataa kudharauliwa, na ili usidharauliwe ukiitwa kwenye usaili usiende,maana siyo lazima kuajiriwa,kisha bada ya hapo tutaongea lugha moja wote huku mtaani
 
Hata ungepata one ya point 1 olevel na one ya point 1 form six na chuo GPA ya 32 bado tungekupigisha interview na tungekunyoosha.
Kwamba madaktari ni special case wengine wote wanafanyiwa interview nyie ndio msifanyiwe?
Unajua maana ya interview na umuhimu wake?
Hata viongozi wa mashirika ya afya duniani wanafanya interview,wewe ngumbaro mmoja umemeza slide za anatomy na physiology unajiona unastahili zaidi kuliko wenzako?
Baki na vyeti vyako..Rudi kimbiji kalime..na kimbiji hakuna mashamba tena sahivi wamejenga kila kona 🀣🀣🀣🀣🀣
Na ukiendelea hivi ntakutukana zaidi , energy drink...TASAF...
Kasongo mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…