The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Dkt unakula mia 9?
Bongonyoso
Bongonyoso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya hapo mgonjwa akija yeye anaanza ku google tatizo la mgonjwa 🤣Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
====================
UPDATES
Kwa taarifa nilizozipokea ni kwamba vijana wameitwq huko Galanos sekondali wakafanyiwe interview ya makaratasi
Hii nchi inashangaza sana
Hapana mkuu. Ninapingana na wewe.Nope, tuwe wakweli hapa, suala la wahitimu kuwa wengi ni suala la sera ya nchi , interview haiko pale kulimit. Kama ni ishu ya kulimit wangeanzaa secondary education.
Usaili uko pale kupata right people, wengi wana div 1 div 2, first class gpa, second class gpa, lakin tunapataje wachache ambao wata fit kwneye position hiyo?
Interview is the only legal and fair way ya kufanya hayo
Na sio pesa halali, pesa yake lazima iwe na makandokando ya rushwa na dealsHii fani unakula pesa yake huku ukiwa umechoka sana😅
Lazima ujue kutofautisha performance ya darasani is not equal to performance kaziniHapana mkuu. Ninapingana na wewe.
Mkuu, kwa hiyo unataka kuniambia mwenye division 3 ya chuoni akifaulu interview kumzidi Mwenye division 1, ndio kusema, huyo mwenye 3 ana uwezo mkubwa sana kuliko mwenye 1??
NB: Assume kwamba chuo hakuna GPAs bali grading inafanyika in terms of divisions..
Never ever. Kamwe Sikio haliwezi kulizidi kichwa mkuu..Alipata division 3 anaweza kua kasoma kozi moja na alipata div 1. Lakini wa div 3 akawa efficiency kwenye kazi kuliko div 1
Pole sanaaaaa, naongea hili from experience. Back in the days wakati nipo serikali hii ilikuwa common sana. Make no mistake nimekuwa serikalini lwa muda mrefu mpaka kufikia mahali pa kusimamia interview na kuchujaNever ever. Kamwe Sikio haliwezi kulizidi kichwa mkuu..
Ni kweli kabisa interview ni jambo la kawaida wajameni,hiyo ni kwa kila fani,tena tambueni kwasasa hayaangaliwi makaratasi tu, lazima interview ifanyike pia tena ya kina haswa,kwani hamjaona mtu ni msomi mzuri lakini in the field anashindwa ku perform??Punguza malalamiko, tuna accredited ICT guys ambao ni approved and certified by international organization, tuna wahasibu pamoja certification zao including CPA but bado wanafanya interview
Concept ya interview ni kupata right candidate for that position. Ni hiyo position inahitaji more than certificates, inahitaji vitu vingi. One way to know kama candidate anavyo ni through interview
Kwani kiswahili hujui kukiandika?Punguza malalamiko, tuna accredited ICT guys ambao ni approved and certified by international organization, tuna wahasibu pamoja certification zao including CPA but bado wanafanya interview
Concept ya interview ni kupata right candidate for that position. Ni hiyo position inahitaji more than certificates, inahitaji vitu vingi. One way to know kama candidate anavyo ni through interview
Kama hutaki join CCM utafahamu wenzio la 7 CCM wanakula RahaJust imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
====================
UPDATES
Kwa taarifa nilizozipokea ni kwamba vijana wameitwq huko Galanos sekondali wakafanyiwe interview ya makaratasi
Hii nchi inashangaza sana
Mkuu Una undugu na TUPAC SHAKUR?Aisee
Yaani marks zao huko shuleni ndio wana deserve wanadamu wawape everything kwa lazima
Umekuja kwenye hospitali yangu,eti nisikuhoji sababu umepata A shule,who the fvck are you?
Unajua hospitali imetoka wapi hii?Do you actually know how much I sweated to get money and run this motherfvcker kiasi kwamba uje eti una vi-A vyako huko shuleni of which I do not care eti nisikuhoji?
Kwanza kazi sikupi,Haya kalime ukahojiwe na shamba basi!
Swali gani luca, hebu rudia nibubujikwe machozi.....Halafu Evelyn kwanini hukujibu swali ninilokuuliza
Unajua maswali wanayoulizwa?Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
====================
UPDATES
Kwa taarifa nilizozipokea ni kwamba vijana wameitwq huko Galanos sekondali wakafanyiwe interview ya makaratasi
Hii nchi inashangaza sana
Ndio hilo hilo Evelyn Salt.Nashukuru kwa kunijibu maana ukimya wako ulikuwa Umenitoa MachoziSwali gani luca, hebu rudia nibubujikwe machozi.....
Kama ni la mapacha, unikome sijazaa mie wala hiyo pimbi siijui. 😏
😂😂😂😂😂😂Hebu kwendraaa hukoNdio hilo hilo Evelyn Salt.Nashukuru kwa kunijibu maana ukimya wako ulikuwa Umenitoa Machozi
Nikajua hujibu ujumbe wangu kwa kuwa muda wote unabubujikwa na machozi ya furaha kila ukiwaangalia Mapacha wako.😂😂😂😂😂😂Hebu kwendraaa huko