Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mtu akishapata leseni ya udaktari tayari yuko vizuri.hakuna cha usenge wala nini ndiyo kawaida ufanyiwe interview ili kieleweke kama wewe uko vizuri kuliko yule mwenzako aliyeachwa.
Sasa kama muko 1000 na nafasi zilizoko ni 30 unadani mchujo utapita vipi hapo bila interview?