ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Yesu baba ake ni nani?Toka Dunia iumbwe hakunaga mtoto ambaye hana baba
Hakuna kosa hata kidogo.Ni vema wanawake wote,hasa ambao hawajaolewa wakahamasishana hilo.Litawasaidia Sana maishani.Hivi kuna madhara yoyote mwanamke akishika ujauzito na kuamua kumficha mwanaume bila kuwa na ugomvi au tatizo lolote kati yao, kwa lengo la kumlea mtoto peke yake?
Pia, ikiwa mwanaume huyo hatakuja kufahamu maisha yake yote kwamba ana mtoto na mwanamke huyo, je, kuna kosa lolote kwa mwanamke kufanya hivyo ili mtoto awe wake peke yake?
ShesRise_1 π
Baba ako tulikutana somewhereHuyo mtoto akija siku moja kukuuliza baba yake ni nani?
Ukoo wake ni upi?
Yupo wapi?
Usianze kujaa gesi na kumpiga. π
Mimi ni mtoto sasa kama umenificha unanijibu nini ninapokuuliza kuhusu baba?Yes baba ake ni nani?
Kwenye mada: sio kwamba mtoto hana baba ila anaficwa makusudi tu
Yaani mfano mimi niseme mtoto nataka ila sitaki ku share huyo mtoto na mtu awe wangu peke angu
Umeelewa?
Baba ako tulikutana somewhere
Sijawahi kumuona tena hata familia yake siijui kabisa wala sijawahi kumuona tena vp hapo?
Wewe naona hujaelewa yaan lengo mtoto awe wako tu bila ku shareSio uamuzi sahihi, ni vyema kumuonyesha mtoto baba yake, fanya uamuzi sahihi haujachelewa
Yaani mfano mimi niseme mtoto nataka ila sitaki ku share huyo mtoto na mtu awe wangu peke angu
Ni sawa na kusogeza matatizo mbele.Hivi kuna madhara yoyote mwanamke akishika ujauzito na kuamua kumficha mwanaume bila kuwa na ugomvi au tatizo lolote kati yao, kwa lengo la kumlea mtoto peke yake?
Pia, ikiwa mwanaume huyo hatakuja kufahamu maisha yake yote kwamba ana mtoto na mwanamke huyo, je, kuna kosa lolote kwa mwanamke kufanya hivyo ili mtoto awe wake peke yake?
ShesRise_1 π
Si jambo sahihi kumficha baba kuhusu mtoto wake, familia bora na njema inajengwa kwa upendo na malezi kutoka kwa wazazi wote wawili baba na mamaWewe naona hujaelewa yaan lengo mtoto awe wako tu bila ku share
Sawa sawaTatizo lipo ShesRise_1 linaanzia pale unapolala na mtu na kupata mimba yake alafu ukamficha kwanza hilo ni kosa sababu ni kuwa umehujumu jitihada zake za kukupa mimba .
Ahaa sawaIla mbaya zaidi ni ukatili wa hali juu kwa kile kiumbe tarajiwa ,sababu muda ukifika atahitaji kumuoana baba yake ,kumdanganya au kumfichq baba yake ni ukatili wa kihisia ,hali ambayo sidhani unaweza kuishi na amani moyoni wala maishani mwako .
Mnaweza kuzungumza vizuri baadae akaanza kuleta shobo ooh nipe na mimi mtoto nikae nae migogoro inaanzia hapoIla kuna machaguo ya namna hii ,unaweza kuzungumza na mtu kuwa tuzalishane ila nahitaji kulea mwenyewe wapo wanaume wapo tayari kwa hilo isipokuwa ile kutambulishwa kwa mwanaye hilo jambo linakuja kufanyaika ijapokuwa baba mtu hakuhusika kwenye malezi .
Mi sioni tatizo kubwaKwahivyo nahitimisha kwa kusema inawezekana japo sio sahihi na haifai maana haiko sawa kisheria na kimaadili .
Kulia lia nini ?Hakuna kosa hata kidogo.Ni vema wanawake wote,hasa ambao hawajaolewa wakahamasishana hilo.Litawasaidia Sana maishani.
NB:1-Asitokee mtu akaanza kulialia baadaye.
2-Ni kweli kabisa haujui majibu ya maswali yako?
Ningeishi mbona kuna watoto hawana baba na wanaishi vizuri tuJe ungehisi vp leo ikiwa hukulelewa na baba, maza ajibu kirahisi nilipata mbegu tu gizani so muhusika simjui ππ