Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hawa ni aina ya mahakimu ambao Sheria haipo kichwan, ni wapuuzi wanaotembea na tukanuni twaao kichwan,, Sina shaka ukifatilia hukumu za huyu mpuuzi, utagundua zote zinafanana.Kifungu cha 326 sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kimewapa chumba mahakimu na majaji kutumia busara wanapotua huku na kisha kuzingatia...
Mambo haya yanaumiza kwakweli .Nikikumbuka kisa cha yule mdogo wake Rostam Aziz (Akram Azizi) na yale mabunduki yake lukuki ya ujangili! Halafu mwisho wa siku kesi ikaisha kwa CCM kupewa kituo cha habari cha Channel 10...
"People used to die"(mwendazake)Ukiua tembo mmoja miaka 50 jela na utalipa fidia ya millioni 50.
Ila tembo akikuua familia yako itapata pole ya sh. Million 1 tu.
Ndo kinachofanyika huko kusini . People are die daily
Kipi kifanyike?Nikikumbuka kisa cha yule mdogo wake Rostam Aziz (Akram Azizi) na yale mabunduki yake lukuki ya ujangili! Halafu mwisho wa siku kesi ikaisha kwa CCM kupewa kituo cha habari cha Channel 10...
Kuiondoa CCM madarakani. Na kwa bahati mbaya mpaka muda huu hakuna njia sahihi wala mpango wowote ule wa kueleweka, wa kuitoa.Kipi kifanyike?
Ni kwa sababu hatuna upinzani madhubuti na ulio serious kabisa. Tatizo ni hilo!.Kuiondoa CCM madarakani. Na kwa bahati mbaya mpaka muda huu hakuna njia sahihi wala mpango wowote ule wa kueleweka, wa kuitoa.
Ukiangalia kwa makini saana, mfungwa wa Africa ni mtu masikini asiyekuwa na mwelekeo wa maisha., ila wale kina Mubaba, Fisadi, Mtawala hata aiibe serikali nzima na kuiuza daima hana hatia.Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata...
Kulinda Watawala ili waendelee nao kupata mema ya Nchi, jiulize unakakuta kakijana kanauokota ukuu wa wilaya kutoka Lumumba mwisho wa siku kuna manyota anakapigia salute daaah.Mambo haya yanaumiza kwakweli .
Unaniuliza , hivi vyombo vyetu vya usalama, kazi Yao nini??.
Dah maskiniMijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata...