Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

Ona hayo maroboti yalivyomshikilia mama wa watu.
 
Huyu mama ndo anaozea jela kweli? Halafu kuna msukuma chato nae kala mvua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…