FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kuna mtu kaua mama yake huko Arusha kafungwa miaka 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona ni kama huyo mama amepewa adhabu kubwa kuliko matakwa ya sheria husika?!
Mpinzani ni nani? Kwanini wewe usiwe? Wabongo mnapenda kukwepa majukumu kwa kuwaangushia lawama wengine. Hopeless.Ni kwa sababu hatuna upinzani madhubuti na ulio serious kabisa. Tatizo ni hilo!.
Huyu mama ndo anaozea jela kweli? Halafu kuna msukuma chato nae kala mvuaMijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia mpaka ajue huyu ni Swala?
Miaka 22 kwa nyama yenye thaman ya laki tisa?
Kwamba kupitia hiyo nyama, angekuwa tajiri kama walivyo majizi yenu ya CAG?
Upumbavu, ufedhuli, ujinga, ukosefu wa Hekima na Busara aliouonesha huyu Hakimu unaadhihirisha aina ya Wanasheria uchwara tulionao hapa Nchini.
View attachment 2805999
Alishaachiwa huru mbonaHuyu mama ndo anaozea jela kweli? Halafu kuna msukuma chato nae kala mvua
Ameachiwa liniAlishaachiwa huru mbona