Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

Ni kukaa mbali na Nyara Ujangili haufai lakini inaonyesha hakuwa peke yake huyo Mama.

Yule Mwana CCM aliyekamatwa na Nyama ya pori kule Kishapu hivi alifungwa miaka 20 na mingapi?
Alikuwa mpaka na mabunduki.
 
Alikuwa mpaka na mabunduki.
unaweza kuta ni mali za mumewe au mumewe aliacha urithi tu. huyo mama hawezi kwenda porini kuwinda, sisi tuliotoka vijijini tunajua, hata hiyo nyama utakuta kuna mtu aliwinda akaweka kwake aiuze au ale, au yeye alikodisha gobole aliloachiwa urithi au vyovyote mwindaji ni mtu mwingine. kwa waliozaliwa maeneo ya mbuga wanaelewa ninachoongea.
 
Ni vizuri kuwapa heshima hata kwa yale waliosimamia....!

Kwani Lissu kwa yaliyomkuta kuna wangapi wanaweza kubeba Viatu vyake hapa...!?

Angeweza tu kuwa kama Nasari ama Kafulila...!

Ushindani wa Uchaguzi ukiwa haki na kweli, kwa watu walivyoichoka CCM, CCM inaondoka bila hata vyama kuungana.
 
 

Attachments

  • CFF63A7E-D5D7-44D9-A12C-5A6D9E9D7DBC.jpeg
    110.3 KB · Views: 3
Huyu mwamba ndiye mtu hatari zaidi kwenye uga wa kutenda haki huko Iringa.

Huyu ni Hakimu Mkazi mahakama ya mkoa Iringa amemuhukumu mjane asiyeweza hata kuwinda sungura mbugani eti kisa mjane kakutwa tu na vipande 20 vya nyama ya swala.

Mjane kahukumiwa miaka 22 jela kwa kosa Hilo kwa mwonekano TU utaona mjane huyo anamaisha magumu labda alikuwa katika kujitafuti riziki tu.

Ripoto ya CAG inaonesha kuna wavaa suti wa maofisin wamefuja matirion ya pesa lakn Bado wapo ofisini hakuna hatua.

Mbunge fulani wa Kanda ya Ziwa alikutwa na wanyama kadhaa na silaha lakini aliishia kukaa masaa 20 mahabusu.

Mwaka fulani enzi za JK twiga alipanda ndege kupelekwa bara Asia huko lakini hakuna aliyechukuliwa hatua

HONGEREN TLS IRINGA KWA MSAADA MNAOCHUKUA JUU YA MJANE HUYU
 
Lissu ni mwanaume haswa!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Kwani sheria imesema mtu wa kosa hilo afungwe miaka mingapi?? Kosa la wanasheria ni lipi hapo!! hakimu anatoa adhabu kulingana na Bunge lilivyopitisha sheria, waambieni wabunge wenu wabadilishe sheria siyo wanasinzia tu bungeni na nyinyi mnapokea tu TSHIRT NA KHANGA wakati wa kampeni.
 
Njia sahihi ni kuua haya mafisadi, mahakimu wa aina hiyo, mijitu imestaafu lakini inakomaa kuingiza inchi Chaka nayo iuwawe kwa kufanya hivyo inchi itapona, kwa hapa tulipofika hatuna namna nyingine.
 
[emoji22][emoji22][emoji22]dah![emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…