Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
- #161
Hivi wanaotuongoza kweli ni watanzania wenzetu??.
Soma Hiyo!View attachment 2806544
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma Hiyo!View attachment 2806544
Alikuwa mpaka na mabunduki.Ni kukaa mbali na Nyara Ujangili haufai lakini inaonyesha hakuwa peke yake huyo Mama.
Yule Mwana CCM aliyekamatwa na Nyama ya pori kule Kishapu hivi alifungwa miaka 20 na mingapi?
Kwahiyo huyo Mama anaweza kulihimili Gobole bila kujikojolea?Alikuwa mpaka na mabunduki.
unaweza kuta ni mali za mumewe au mumewe aliacha urithi tu. huyo mama hawezi kwenda porini kuwinda, sisi tuliotoka vijijini tunajua, hata hiyo nyama utakuta kuna mtu aliwinda akaweka kwake aiuze au ale, au yeye alikodisha gobole aliloachiwa urithi au vyovyote mwindaji ni mtu mwingine. kwa waliozaliwa maeneo ya mbuga wanaelewa ninachoongea.Alikuwa mpaka na mabunduki.
Ni vizuri kuwapa heshima hata kwa yale waliosimamia....!Si rahisi. Ila nao wawe na misimamo WOTE, haipendezi Mbowe na Lissu pekee wawe na misimamo huku wenzao wengine wakiwarushia vijembe pasipo kuunga mapambano. Wapinzani waongee lugha moja, waboreshe HQ zao nk, ili angalau wananchi waone kuwa wapo serious na wamejiandaa kupokea nchi.
Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia mpaka ajue huyu ni Swala?
Miaka 22 kwa nyama yenye thaman ya laki tisa?
Kwamba kupitia hiyo nyama, angekuwa tajiri kama walivyo majizi yenu ya CAG?
Upumbavu, ufedhuli, ujinga, ukosefu wa Hekima na Busara aliouonesha huyu Hakimu unaadhihirisha aina ya Wanasheria uchwara tulionao hapa Nchini.
View attachment 2805999
Kwa reference ya nchi gani? Maana kwingine anapigwa viboko tu unaondoka. Sheria zetu zinaukakasiKwani ilitakiwa afungwe mingapi?
Lissu ni mwanaume haswa!Ni vizuri kuwapa heshima hata kwa yale waliosimamia....!
Kwani Lissu kwa yaliyomkuta kuna wangapi wanaweza kubeba Viatu vyake hapa...!?
Angeweza tu kuwa kama Nasari ama Kafulila...!
Ushindani wa Uchaguzi ukiwa haki na kweli, kwa watu walivyoichoka CCM, CCM inaondoka bila hata vyama kuungana.
[emoji22][emoji22][emoji22]dah![emoji22]Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia mpaka ajue huyu ni Swala?
Miaka 22 kwa nyama yenye thaman ya laki tisa?
Kwamba kupitia hiyo nyama, angekuwa tajiri kama walivyo majizi yenu ya CAG?
Upumbavu, ufedhuli, ujinga, ukosefu wa Hekima na Busara aliouonesha huyu Hakimu unaadhihirisha aina ya Wanasheria uchwara tulionao hapa Nchini.
View attachment 2805999